Siyo Africa huko mbali ingekuwa Tanzania ..
Sana,hasa hapa Mississippi mito ni mingi mno.hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US?

hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US?
Hiari aisee ndo maana nazichanga sana,naamini hakuna kinachoshindikana mbele ya pesaUtaenda kwa hiari au kama mkimbizi wa kisiasa maana kwa sasa kila raia ni potential refugee
Lissu angefurahia Sana.ingekuwa kwa jiwe unakatwa hicho kidole afu unadumbukiziwa![]()
Lissu angefurahia Sana.
mkuu, comment yangu sio ya kisiasa, ni ukweli tu nimesema na wala sio kibaya,udikteta wa Africa una faida zake na moja wapo ni hiyo rais wa Africa hawezi tukanwa hivo