Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Dakika tatu hizi hizi ninazozifahamu mimi au.

Tena kwa kutumia stop watch. Halafu principles zote zina contexts tofauti, ukiziunganisha unapata mwezi na zaidi. Mfano kucheza muziki, miziki mingi ni kati ya dakika 4.5 na 5.5.
 
Ukiweza cheza nae mziki hatua za mwanzoni zipo poa
 
mkuu hayo mambo uloandika ni rahisi sana kwenye karatasi lakini ukishaingia field hali inakuwa tafauti,hizo dakika tatu zinaweza kuwa masaa,alafu maelezo yako yameegemea katika best case scenario,vipi unapokutana na hostile resistance unafanyaje?
 
Hostile scenario utaitengeneza kama ulikosea mwanzoni
 
Dakika 3 ufanye vyote hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manina, Mbona mi nafanya vyote hivyo lakini bado siwapati? [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…