Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Duh! Hii ni shiidaa! Taabu zote za nini hizo?
Bora nikanunue sokoni, naweka laki mezani ananasa menyewe tu bila hata mbwembwe zote hizo!
Kwanza mbwebwe zote unataka kuoa huyo mwanamke au unataka upewe uroda bure!
Mjini ukiona unatongoza mwanamke kihivyo ujue huna hela bado maskini sana!
Hizo mbwembwe tunatumia kutafutia pesa mjini sio kutumia pesa
 
hahah! sawa muosha rungu,
lakin mpaka wewe unahongwa kwa hela yangu kumbuka mimi nimesha gegeda sana
Ila hupewi kwa hisia, Mimi napewa yote,kwako anaweza soma gazeti huku unamgegeda,ila Mimi kiuno kama feni,haha!
 
Huyo hatakua sio demu ni malaya anakuesabia nawewe ujione ni bingwa kumbe wapi[emoji2]
Dah utachelewa wewe,demu anaweza kukuzungusha mwezi ila usiku anajipanga makoloboi au sewa bar.love ni first sight,zingine ratiba tu
 
Utumwa
 
Haya mambo magumu sana mkuu.

Usirahisishe kiasi hicho.

Unaweza kukutana na MTU ukasahau hizo idea zako zote.
 
Mpaka umalize hatua zote hzo itakuwa mwezi mzima
 
Kwanza hayo yote huwezi kuyatimiza kwa dakika 3.
 
Haya mambo magumu sana mkuu.

Usirahisishe kiasi hicho.

Unaweza kukutana na MTU ukasahau hizo idea zako zote.
Utakuwa una kitete hujiamini,unapomuogopa mwanamke umefeli tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…