Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Bro hiyo no 3 umezingua.unawaimiza vijana wa fake
 
Hivi vitu vyote vilivyoandikwa vinawezaje kufanyika ndani ya dk 3?
 
Mkuu ni kweli for da first time inafaa kuanzia, but kwetu watoto wa kitaa mbona zipo namna nyingi tu za kuwaingiza kwenye nyavu.
 
Yote haya ufanye kwa dakika tatu? Haya mambo sio ya kutia moyo hata kidogo
 
wanawake wa kibongo hawataki hayo mambo, watakuona mshamba...... Fezaaaaaaaa
 
hawa wanawake wa jf wanaosoma huu uzi tutawambia nin? make tayari usha disclose hyo tech?
 
wanawake wa kibongo hawataki hayo mambo, watakuona mshamba...... Fezaaaaaaaa
Hapanaaaa! Msanii mmoja aliimba njiwa hana pesa lakn naye anawake tunduni, hivyo fanya mengine kwanza fedha iwe ya mwisho. Nakuhakikishia wenye fedha wengi hutumia pesa km chambo tu, but mwishoni ni majuto kwa wenza wao. Siwezi kukulazimisha uliamini hilo, ila ukweli ndio huo.
 
Mkuu umemaliza
 
Vipi nikitumia kizizi si naopoa kirahisi mkuu hata nisipokuwa na FWEDHA...
 
Hakuna formula ya kutongoza ndio maana kila siku ukianza kutongoza ni kama unajifunza.
 
Reactions: Qj_
15. Uwe na mkoko aka ndiga ki vingine gari au garee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…