Dakika tatu hizi hizi ninazozifahamu mimi au.
[emoji3] [emoji3] km ulikuwa kwny akili yng, nlitaka tu kujua hadi umefikia hatua ya kumchagulia nguo za kuvaa (#12), bado itakuwa dk3?!
Anywayz, uzi umesimama sana na kuna vitu umeniongezea nitavifanyia kazi....hongera[emoji122] [emoji122] [emoji122]
haopo ndio mwisho wa tamaa za mwiliHehehe yaani kazunguka kooote kaacha kitu muhimu
Alitumia mweziJovitha jamaa alitumia dakika ngapi kukuvuta
Km huamini basiNo si kweli
Nitanaswa na kitu kingine na si swaga za kutongoza! Pia kama yuko ndani ya vigezo vyangu hata kabla hajanitongoza mimi nimeshamnasa!Hujanaswa wewe!!
Dakika tatu hizi hizi ninazozifahamu mimi au.
anatakiwa ajitumbue mwenyeweHapana mpaka sasa ishakua zaidi ya mwezi , labda mtoa mada anacheti feki
usinichapeSuper women nitakuchapa[emoji23] [emoji23]
Hapana ndugu..angalia vizuri..zipo tofauti.Kiongozi umeiba avatar ya super women
namuongezea na bia mojaMwambie mangi akupe soda ntalipa