Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Huyo demu atakaekuelewa na hizo porojo zote ndani ya dk3 labda awe mkazi wa Bumbuli kijijini huko.

Sio demu wa kidaslam...utakunywa sana sparletta Bar mkuu!!!
 
Sasa mambo yote hayo utayafanya ndani ya dakika 3?

Kinachoweza kufanyika kwa dakika 3 ni muamala wa tigo pesa au mpesa, nakuhakikishia miamala wanawake wanaelewa ndani ya dakika 3.
 
Iv dakika tatu unazijua kweli! ata mwezi haya mambo hayataisha,hapa umekuja kuongeza wanachama 'CHAPUTA' cyo bure
 
Sasa mambo yote hayo utayafanya ndani ya dakika 3?

Kinachoweza kufanyika kwa dakika 3 ni muamala wa tigo pesa au mpesa, nakuhakikishia miamala wanawake wanaelewa ndani ya dakika 3.
Tofautisha biashara Na mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…