Mtoa taarifa (Dkt. Mwele) 'ametumbuliwa', mficha taarifa huko Singida aswekwa rumande kwa saa kadhaa

Kaswekwa rumande kwa kushindwa kuthibiti ugonjwa wa kipindupindu kwenye eneo lake la kazi, au kwa sababu kasema kuna kipindupindu wakati mkuu wa mkoa hataki ijulikane kuwa kuna kipindupindu?

Mambo yakiendelea hivi, kuna taarifa nyeti zitafichwa kuogopa kutumbuliwa au kuswekwa ndani.
Muwe mnasoma hoja mnaelewa sio kukurupuka kuchangia. Mtoa uzi kaeleza kwamba DMO kaficha taarifa za kipindupindu ndio maana kaswekwa ndani.
 
Kwa sasa hatuna mfumo maalum wa utawala,tunasonga mbele kimungu- mungu kutegemea upepo wa siku hiyo unaendaje.Nashauri watumishi wa umma wasilale lale kwani hawajui siku wala saa mkulu atayoamua kuwatumbua
Uliopo ndo mfumo wenyewe
 
Hapa Dar, Dr. Mwele Malecela alitoa taarifa juu ya ugonjwa wa zika kupitia Taasisi aliyokuwa akiiongoza ya NIMR. Kwanza, taarifa zake zikakanushwa kwa haraka. Akatumbuliwa. Akakubali matokeo na anasonga mbele.

Mkoani Singida, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida 'ameficha' taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya yake ya Singida. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi akamsweka rumande kwa saa kadhaa.

Kwanini viongozi wetu hamsomeki? Au zika inaogopesha kuliko kipindupindu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hujui maana na matumizi ya neno PROCEDURES
 
Yote mawili haramu-. You're damned if you do, and you're damned if you don't.Kifupi either way you are screwed!
 
Hapa Dar, Dr. Mwele Malecela alitoa taarifa juu ya ugonjwa wa zika kupitia Taasisi aliyokuwa akiiongoza ya NIMR. Kwanza, taarifa zake zikakanushwa kwa haraka. Akatumbuliwa. Akakubali matokeo na anasonga mbele.

Mkoani Singida, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida 'ameficha' taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya yake ya Singida. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi akamsweka rumande kwa saa kadhaa.

Kwanini viongozi wetu hamsomeki? Au zika inaogopesha kuliko kipindupindu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Madaktari wa kitanzania nawaonea huruma. , hivi mkuu wa wilaya au mkoa anisweke jela , Huko ni kudhalilishwa kwa kiwango cha juu.Kesho yake nawapa barua ya kuacha kazi
 
Tunataka taarifa za ukweli uliothibitika. Wote hao wamekosa sifa ya kuthibitisha taarifa zao. Viongozi wetu wanasomeka sana, labda tu uamue kutowasoma. Upo, Mkuu??!!
 
Sasando nimeelewa kitu
Mungu alininusuru.
Nilikuwa nasikitika sana kutofanya kazi
serrikalini
 
Hapa Dar, Dr. Mwele Malecela alitoa taarifa juu ya ugonjwa wa zika kupitia Taasisi aliyokuwa akiiongoza ya NIMR. Kwanza, taarifa zake zikakanushwa kwa haraka. Akatumbuliwa. Akakubali matokeo na anasonga mbele.

Mkoani Singida, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida 'ameficha' taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya yake ya Singida. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi akamsweka rumande kwa saa kadhaa.

Kwanini viongozi wetu hamsomeki? Au zika inaogopesha kuliko kipindupindu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
hiyo inaitwa zigzaga paranganyika shagarabaghala. you don't know where you are heading.
 
Hakuna leadership Mkuu kila mtu anafanya kivyake vyake tu. Mmoja yuko busy kutengua teuzi kisha kuwateua wale wale na mwingine yuko busy na Faru John wakati huo huo nchi inaenda alijojo.

Back
Top Bottom