List ya waongo humu JF na wazushi inaongozwa na
Yeriko Nyerere, ndiye kiongozi mkuu wa kikosi cha UONGO, UZUSHI NA UPISHI WA MAJUNGU.
Msema kweli kidogo ninayemuamini mimi humu ndani ni
Pasco mwanadada mahiri
FaizaFoxy na pia
Mzizi Mkavu kwa kuwa ni mchawi lakini pia taarifa zake nyingi zina evidence, kwa mfano hadi picha za majini wote na wanakoishi yeye anajua, hahahah walikuwepo hapo zamani kina
Nyani Ngabu japo sasa hawajulikani wako wapi...