Mto Ruvuvu/Nyabarongo Modus operandi kwa mto Ruvu

Mto Ruvuvu/Nyabarongo Modus operandi kwa mto Ruvu

Mashamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
418
Reaction score
103
Hali si njema tena.
Kwa wanaoufahamu vyema mto Kagera umeundwa na iyo mito miwili tajwa juu. Miaka ya nyuma kidogo wakati wa mauaji ya kimbari na miaka iliyofata hii mito imegubikwa na kutupwa sana kwa miili ya watu wanaouwawa kwa sababu mbalimbali Bujumbura na Kigali na kubebwa na maji hadi kuingia mto Kagera kwa upande wa TZ na mara nyingi sana maeneo maarufu ya Rusumo hii miili ilionekana sana.
Modus operandi hii wameichukua wameileta na huku, sijui ni mafunzo ya kale kasafari au ni nini ila hivi viashiria sio vyema kabisa bandugu ikizingatiwa kuna mengi yanaendelea kimya kimya. Mungu tuepushe na hii roho inayoinyelea hii inji. Binadamu yeyote ana haki ya kuishi haijalishi wapi na kwenye mamlaka gani.
 
Tatizo hapa watu wameshaanza kuonyesha kwamba vifo na matukio haya ni mkono wa serikali.Na wenye mawazo finyu kama hawa ni wana chadema na wote wenye mawazo yanayoendana nao.Kwanini hata hamngojei uchunguzi ufanyike ? Kumbukeni msije mkaumbuka kama wakati wa ile miili mingi iliyotupwa eneo la Bunju.Tujifunze wana chadema na wote mnaofanana nao,wakati mkiongea ovyo kuhusu Dangote ,serikali ilikuwa inawatizama tu na mkaja kuumbuliwa dakika ya mwisho.
 
mbona mapovu bandugu? Nani kayahusisha na vyama na kama kuna uhusiano wa sihasa na haya matukio tupe taarifa rasmi ili nasi tuwe nazo. Ila ukweli utabaki pale pale approach hii ilitumika kule na pia kwa taarifa za chinichini wale ni mentor wetu saivi so tutashudia mengi mno, yangu macho .
 
Back
Top Bottom