Mto **** nchini Japan

Huo mto nyasi zake za pembeni wanazifyeka au wanaziachaga
 
mbona na sisi kwetu kunawamasai wanaitwa,Kumambelegese,Lukundu rohoma,Serenkuma
 
**** moto ni uwanja wa mpira huko japani,
nakumbula korea - Japan world cup kuna mcjezaji Wa Ubelgiji anaitwa MBO MPENZA akakipiga ndani ya huu uwanja , magazeti ya bongo yakaandika, "MBO Mpenza ndani ya **** MOTO"

Ha ha ha haaaa,salaaaaalaaaaa
 
Kuna sehemu kigamboni inaitwa mboromaji
 
Duh!!!! Huko japan kweli kuna visa, me nimeishia kucheka tu.

Vitu unavyoona ni visa kwako kwawenzio its usual, na kitu ambacho kwao ni visa kwako chaweza kuwa cha kawaida sana!
 
Hahaha hiyo sehemu ipo.. Kuna hizi nyingine kama NYEGEz, kumas, takoradi, kunduchi, na sengerema.. Sasa hapo sengerema makonda wa daladala huwa wanasemaga wale ------- oya wale ------- twendeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…