Mto mzuri sana wa kulalia....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Mto kama huu naulalia kwa juu kifudifudi........na sitaki chali


Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Mganga wa Jadi huwa halalagi usiku....

Ndio time ya kugangia hiii
Boflo huwa unachezaga mpira wewe ? unacheza namba ngapi? Au position gani? off side trick nini? Naona avatar yako inatisha kwa kupiga watu vichwa umempiga kichwa nyaningabu sasa wanipiga kichwa mimi hahahah.
 
Natamani liabonyeza kuona kama yanabonyezeka au ni mawe maana naaona km mawe vile
 
Yanatamanisha kulalia.. But hapo kama yamekaa ovyo ovyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…