Mto Kongo na Maajabu yake

Hebu nisaidieni swali hili jamani Congo DRC ni tofauti na Congo Brazzaville??? Na maraisi wao ni tofauti??

Sent using Jamii Forums mobile app
Congo moja hii Ya kabila ilitawaliwa na mbelgiji (Belgium Congo)
Congo nyiningine ile inapakana na gabon ilitawaliwa na mfaransa(french Congo), ni nchi mbili zinazotenganishwa na huo mto Congo, kila moja ina rais wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunaambiwa tusiharibu mito kwakuwa tunaua viumbe wengine muhimu duniani
Washenzi hao mkuu na badhi ya viongozi wetu! Mabeberu kuna baadhi ya sheria wametuchomeakea kwa faida zao! Mfano ukitaka kuingia chemicals yoyote hapa bongo ata kama gundi utapata taabu kweli Adi uwe na vitu kibao! Sheria nyingi tume copy bila kujuwa!
 
Kama ni mto wa pili kwa kupeleka kiasi kikubwa cha maji baharini duniani na mto wa tisa kwa ukubwa duniani iweje Nile iwe kubwa kuliko mto Kongo, je huo ukubwa unatazamwa katika sura ya upana au pamoja na kina chake?
MTO Kongo ni mkubwa sana. Ndo maana una peleka maji mengi Baharini. Mto nile ni mrefu lakini sio mkubwa kulinganisha na mto Kongo. Kwa ukubwa na maanisha upana na kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom