Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,594 Reaction score 1,863 Feb 21, 2013 #1 nadhani eti inaweza fika kipindi ikawa sasa kama unatafuta mke au mume, unaruhusu watu watume CV kama unapo omba kazi,then CV zinapitiwa na mnaitwa kwenye usaili na atakae kidhi vigezo,..anajichukulia mke au mume....ni MTIZAMO TUU..
nadhani eti inaweza fika kipindi ikawa sasa kama unatafuta mke au mume, unaruhusu watu watume CV kama unapo omba kazi,then CV zinapitiwa na mnaitwa kwenye usaili na atakae kidhi vigezo,..anajichukulia mke au mume....ni MTIZAMO TUU..