Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Jaribu kutuliza akili kwanza ili unielewe:
Nia ya huu uzi sio kuwakandia watanzania, Kwenye nchi mama Tanzania kuna watanzani wenye utu . Ila kwa vile kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo, kwenye Tanzania pia kuna watu wakatili kupitiliza.
Madikteta wakubwa duniani walikuwa wapole sana, ila walionyesha makucha yao baada ya kupata madaraka ya juu.
Nataka kuanza kuongelea Watu wenye madaraka makubwa ambao wamepita Tanzania ama naweza kusema ni products za Tanzania.
Yoweri Kaguta Museveni, huyu amepikwa na Tanzania. ila mambo anayoyafanya kule Uganda kila mtu nayaona,
Vyama vya upinzani havipumui sitaki kuliongelea kwa undani sana ila nataka tu msomaji ajue kuwa hii ni product ya Tanzania.
Joseph Kabila,, huyu ndio mtanzania pure kabisa. alikulia Tanzania akasoma hapa na utoto wake wote. ila utawala wake umekuwa wa hatari sana.. umekuwa wa kiunyonyaji, watu kupotea, kujilimbikiza mali na mambo mabaya sana dhidi ya mwanadamu
Nchi ya kongo ina utajiri na hii sio habari kabisa ila ufukara uliopo pale ni kwa sababu ya viongozi hawa.
mambo yanayotekea kongo kuelekea kwenye uchaguzi si mzaha, ni masikitiko makubwa.
sitaki kumtaja Katumbi.
Tukirudi nchini kwetu sitaki kuelewa mabaya ambayo mnayajua tayari.
Nataka tu kuhitimisha kuwa kati kati ya watanzani kuna watu wenye hulka na tabia za Hitler, msije mkawa suprised mmoja wapo wa hilo kundi akishika madaraka makubwa.
Tutaingia kwenye sura ya dunia tukiwa na uso mwingine kabisa.
kama hujaelewa bandiko langu rudia tena kusoma.