Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,059
- 1,041
Siyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.
Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza
RAHA YA KUWA NA MBUNGE MSOMI WA UKAWA
Niko hapa MNH naangalia pilika zinavyoendelea. Hakuna nurses wa kutosha kuwa Na ward nyingine ghafla. Hawa kina mama wanaweza kupata tatizo wakiwa wenyewe
Hebu afikiri critically. Hivi walimu wanachohitaji ni kulipiwa mia nne za nauli kweli? Amwambie mkurugenzi wake wa manispaa awalipe walimu wake madai yao ya likizo za dec 2013 na 2014 hadi dec 2015. Aanzishe miradi ya ujenzi wa nyumba za walimu aachane na madarasa na madawati na hilo ndio suluhu ya kuwahi kazini. Aache kufikiri kiduchu.
Hii ndio faida mojawapo ya kuwa na upinzani wenye nguvu
Ndio Maana ccm alimtumia Kumpa airtime kwenye Luninga na Radio?Wamtumie vizuri Slaa cha ajabu CHADEMA inapendwa zaidi na vijana na Slaa kashapuuzwa
Slaa hata shetani hatamwamini akiongea sasa.Ndio Maana ccm alimtumia Kumpa airtime kwenye Luninga na Radio?
Masaa 6 hakuna mchangiaji hiyo ni aibuwana jf nawasalimu
nianze na kwa kusema kwa mda wa miaka mitano kumekuwa na mtikisiko mkubwa sana ndani ya ccm na tulishuhudia mpaka kinachoitwa kuvua gamba.
hyo haitoshi tukashuhudia waliokuwa mawaziri wakuu wa serikali ...lowasa na sumaye wakihamia cdm...hakika huu ulikuwa mtikisiko wa aina yake ila ccm ikasimama
kama ilivyo ada (principle of managment) kils tasisi ina migogoro ingawa sio yote inamadhara(constructive and destructive conflicts)..sasa wasiwasi wangu ni pale migogoro mikubwa itakapoikumba cdm kama ilivyokuwa kwa wenzao wa ccm na kushuhudia important figures kama vile lisu..myika...mdee wakikihama chama hicho na kujiunga na vyama vingine je mtikisiko huu watauhimili?
ikumbukwe kuwa kila aliyekuwa kiongozi ktk chama flani akienda
upande mwingine hutoa siri za alikotoka..je siku jamii ikianza kujua ukweli kuhusu pesa za ruzuku zinavyotumika vibaya kutoka kwa wahusika wenyewe cdm itasimama?
wito...chadema ijenge misingi ambayo hata itakapotikiswa ibaki salama..bado tunawahitaji ili kujenga nchi imara yenye upinzani wakweli.