Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

Dah kumbe hii ndio sifa kubwa ya wachaga eeeehh?? MREMA nae alikataa uwenyekiti usisogelewe na mtu yeyote,na hakutaka kuachia ngazi,na MBOE nae ndio haya tunayaona,hawa hawafai kupewa uongozi km alivyosema nyerere,hiki chama bora kifutwe hakina maana,sio chama cha siasa ni chama cha harakati.
 

Wewe katika usomi wako umewahi kujisaidia au kujinufaisha vipi na elimu yako ili na hao unao washutumu ionekane kweli elimu zao hawazitendei stahiki?

Wewe mtu mmbona wapenda sana ushabiki usio na maana?
 
Jaman elewa chama ni zaidi ya mtu, watu watapita chama kitabaki, kumbukeni ni kijana ambaye amelelewa na cdm kisiasa sasa iweje leo awe zaidi ya chama? Tuache ukanjenje wa na propaganda za sisiem na tutumie busara na hekima kusuluhisha huu mgogoro. Pia nawaomba Mbowe, Slaa na zitto waonyeshe ukomavu wa kisiasa kutatua hili.
 
achana na cdm wewe , hivi unataka Mh Mbowe akapige picha na msela 50 cents ili umuone wa kisasa ? Huku hakuna mobu saikoloji .

Na wewe huyo 50cent wako ndo umeon mtu wa kisasa?

Hivi mtu wa kisasa ni wa aina gani kwa elimu yako?
 
Hakuna suluhu kwa wasaliti, ni kuwatimua tu... msuluhishi dr banna? Sad Raia mwema nayo imenunuliwa! Kigezo cha wasomi pekee hakitoshi, ukiangalia kwa umakini sana utaona wasomi ndiyo wenye kusaini mikataba mibaya kuliko ile ya chief Mangungo! Chenge, Rostam, Mkapa, Karamagi, Rutabanzibwa, Kafumu, Kapuya, Mboma, Apson, Mahita, Mramba, Yonna, Ballali plus some Indians crooks wametusababishia maisha kuwa magumu kwa kuliingiza TANESCO kwenye mikataba ya kishezi, wameruhusu Tanzanite kuchukuliwa, wameruhusu dhahabu kuhamishwa nchini, wameruhusu Almasi, Uranium na Gesi kumilikiwa na wageni... Kwanini Raia Mwema haliandiki kuhusiana na rasilimali zetu zinavyokwapuliwa? hawaoni kuwa umasikini wetu hauendani na rasilimali mungu alizotujaalia?... Shame on you Raia Mwovu...
 
Notradam hata kina Lowassa na wengine walimsaidia Kikwete kuingia madarakani walipotofautiana tunajua kilichofuata. Hapa hatuzungumzii nani kamfanya nini mwenzake. Tunahitaji balanced stories sio habari za kina shigongwe. Hivi kweli wasomi CDM ni Kitila na Barugu Tu.... Hivi kweli maamuzi ya kamati ni watu 5 tu.... huu sio uandishi kama unataka kuwatetea. waandike ukweli hata kama kuna doctoring of the story basi iwe professional sio upuuzi uliandikwa, sorry to say that.
 
Kwa hiyo kama hutaki wasomi ina maana unataka CHADEMA iwe ya vihiyo? Kwanini unafikiri uanachama wako ni bora kuliko wa msomi anayekosoa uongozi kiasi kuwa yeye awe ndie wa kuondoka na sio uongozi au wewe?


umemuelewa vizuri lakini?
 
Hivi Chacha Wangwe naye alikuwa msaliti?

Nitalijibu swali hili iwapo utanijibu maswali yafuatayo;
1.Unajua ni kwanini ajali ya Marehemu Hayati Edward Moringe Sokoine ilitokea?
2.Kwanini walinzi wake walibadilishwa na kuelekezwa watangulie kwa ndege Arusha yeye atapitia Morogoro kukagua mashamba? unafikiri maana ya hili ni nini? una uhakika CCM haihusiki hapa?
3.Je unafahamu kuwa Horace Kolimba alifia wapi? Kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA?
4.Umewahi kuchunguza sababu ya kifo chake?
5.Na kwanini Imran Kombe aliuwawa? unafikiri aliuwawa na CHADEMA?

Nakuhakikishia with this parthetic government on Power iwapo kungekuwa na mkono wa CHADEMA kwenye ajali ya Wangwe hata Scotyard wangealikwa mara moja kwa gharama yeyote.
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu
huwa napata taabu ninapowaona wazee wa baraza wakiwa na msimamo wai juu ya kesi inayoendelea kabla ya kutolewa hukumu
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu
huwa napata taabu ninapowaona wazee wa baraza wakiwa na msimamo wai juu ya kesi inayoendelea kabla ya kutolewa hukumu
 

jibu swali,,,,acha kutoa data feki!fa,,fa,,,ki,,,u.
 
maccm hawa jipya hapa viroba vinafanya kazi chadema mapambano yanaendea kamanda slaa ameshaingia kigoma mjini mapokezi yamevunja rekodi watu kama siafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…