Hakuna mtu anayeweza kuzuwiya khadari ya Allah.nimeona video hii imenifanya nifikiri sana, Hivi tulishindwa kumlinda?
Hakuna mtu anayeweza kuzuwiya khadari ya Allah.
Nimeshindwa iona hiyo video but I think it concern about the PK crucuial acts of killing millionas of people.Acha huo usemi kabisa.
Mtu aliuawa halafu wewe unaleta mambo ya "Allah wa warabu".
nimeona video hii imenifanya nifikiri sana, Hivi tulishindwa kumlinda?
May be he was the inside man!Mch. Christopher Mtikila alikuwa anajua mambo mengi sana kuhusu hii nchi.
RIP.
Nimeshindwa iona hiyo video but I think it concern about the PK crucuial acts of killing millionas of people.
Serikali ilishashindwa kumpa sapoti Rev.Mtikila since at the begining kwa kumwona mpinzani i think plus udini on the past uongozi. He is truly a hero.
inasemekana mtikila alikuwa informer wakat akina mandela wanahangaika na kaburu,alikiri kuwakaribisha fdlr nyumbani kwake..kuikoromea serikali huenda ilikua kama mbwa mkorofi na mfugaji wakeMay be he was the inside man!
"the highest risk shoud give the maximum profit"
Natamani mtu anipe academic Cv yake nijue alisoma niniinasemekana mtikila alikuwa informer wakat akina mandela wanahangaika na kaburu,alikiri kuwakaribisha fdlr nyumbani kwake..kuikoromea serikali huenda ilikua kama mbwa mkorofi na mfugaji wake
Kabisa mkuu.Alizungumza namna , rwanda inavyoeneza matatizo katika nchi ya burundi na DR Congo pia, mpango wa rwanda kusaidia malawi ili wateke eneo lote la Ziwa Nyasa kwa kupitishia wanajeshi kule zambia kisha waingie malawi .
Na akawa anasisitiza kuwa wao kama chama cha DP wanaangalia usalama wa nchi na siyo siasa uchwara.
Mtikila, ni Shujaaa kwa siku alizoishi.
Japo, hajaandikwa kama wengine walivyoandikwa kwa waliyofanyia nchi zao ila tunapaswa kuangalia watu ambao ni tunu na assets katika nchi yetu na Kuwalinda.
Any way, its unfortunate that, We only Live Once.
Natamani mtu anipe academic Cv yake nijue alisoma nini