MTIKILA: CCM ni Manyani - Epidomea

- hivi Mtikila zile Shillingi Millioni 3 alizokopeshwa na Rostam alishazirudisha au?

Le Mutuz System

Le Mutuz naomba ujitunzie heshma na changia hoja na sio kuleta kitu ambacho kitadrive hii hoja away
 
R.I.P Mtikila
 
Mtikila alikua mpambanaji sana..alitaka tuachee huu upuuzi wa Tanganyika kubebeshwa koti la JMT ,apumzike kwa amani.

#MaendeleoHayanaChama
 
 
Akaendelea kusema Kikwete anasema Jeshi litachukua nchi amesahau kuwa hao hao wanajeshi kuna ndugu zao ambapo kila mtu ana ndugu mwanajeshi si rahisi jeshi kuja na kumtawala ndugu yake na kumtesa akasema pia Rais JK kuwa na mawazo hayo ni tatizo la Epedomia (Unyani).
 
''Kwaiyo walipofika afrika wakarudi kutoa majibu kwamba wale watu si binadamu halisi kwa sababu wanauzana wao wenyewe kwa wenyewe kwa tende na halua''.
 
''Kuna lile gonjwa linaitwa Epidomia. Ukimuona mtanganyika hajali utaifa wa wana utanganyika kwa sababu anapata pesa, utawala, anataka chochote basi ndio ule ule unyani wa siku zile''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…