Vichaa waliambiwa watengeneze Tv kwa Kutumia mabox, siku ya kuleta Tv vichaa wote wakaleta Mabox Yao, Kasoro Mmoja ye akaleta Karatasi, wakahisi amepona, Dokta akamuuliza We vipi Mbona Umeleta karatasi???
Kichaa: hamna dokta hii ni flat Screen.
Mwalimu wa vichaa kawambia wachore picha ya ndege,wakachora wote ila m1 hakuchora kitu.Doctor akadhani labda kapona.Alivomuliza,Jamaa likamjibu,ALIKUWEPO ILA ULIVO ONGEA UMEMSTUA AKAKIMBIA.
Kichaa mmoja alifungua hii nyuzi akasoma comments zote lakini hakucomment jamaa akamuuliza mbona wewe hukomenti, akajibu, lengo la hili jukwaa ni kucheka tu na wala si kukomenti
Hapana. Kichaa ni mtu mwenye matatizo ya akili na kawaida hajuwi alifanyalo. Sasa kwa kuwa huyu jamaa alishajuwa kuwa ufunguo ndiyo unaofungua mlango na akasisitiza kuwa anao yeye basi alikuwa kishapona.