Mtihani wa TAIFA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa TAIFA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zuia Sayayi, Jan 25, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani Can u imagine eti PESA ya mtihan wa TAIFA (NECTA) form 4 imerudishwa kwa hiyo mzazi ataendelea kumlipia mtoto wake mtihan huo Tsh. 35000/=
  yaan kiufupi mwananchi wa kawaida anaendelea kurundikiwa mzigo richa ya kwamba tayari anamzigo mwingine wa MFUMUKO WA BEI
  maneno haya juu yanakamilisha neno TANZANIA, du mpaka najuta kwanini nilizaliwa hapa.
   
 2. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Si unajua mrisha wapa kura CCM.
   
 3. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  one mistake 1 goal
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Si wanalipa wanachama wa chadema tu sana wengind mnalalamika nini?
   
 5. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  my friend if you think education is expensive try ignorance.
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  how can i tray ignorance and ignorance is ver expensive than education
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  TZS 35,000 ni nyingi kwa asiyekuwa nayo. Tubuni na kuichagua CHEDEMA 2012.
   
 8. M

  Mamatau Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Correct! Wewe hufahamu kuwa bure alikufa zamani?
   
 9. Mutta

  Mutta Senior Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walikuwa wanalipiwa wanafunzi wanaosoma shule za serikali.Je wa Private si watanzania?
   
 10. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Baada ya kusoma hapa hasira zangu kwa CEO mmoja wa Kenya kuhusu uchumi wa TZA zimetua. Huyu jamaa kumbe mkweli, mimi nilidhani anatudhalilisha tu kama ilivyo kawaida yao.

  Ni CEO wa kampuni inayofanya biashara ya nguo, saluni na vifananavyo. Akawa anajibu swali h¡kuhusu expansion strategy yao kwa mwaka huu. Akadai kuwa kuja TZA ni ngumu kwani hakuna shopping malls lakini zaidi ni kuwa bado uchumi wetu ni AGRARIAN.

  Mtoa mada umedhibitisha! Bure? 2012? Kweli very bure and cheap uchumi of the AGRARIANS!
   
Loading...