Mtihani wa maarifa ya Dunia............?

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
1. Kama hela haioti kwenye miti kwa nini Bank zina matawi?
2. Kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusiendeshe gari wakati tumekunywa(kulewa) kwa nini bar kuna parking?
4. Kama neno 'Abbreviation' linamaanisha ufupisho kwa nini lenyewe ni refu hivyo?

Muda ni dakika 10 tu...........
 
kama hatutakiwi kuti.an.a kabla ya ndoa kwa nini tunabalehe mapema!??
 
Duuu we ki.bo.ko
 

Kudua na Kugosha chedi nini?
 
kabla ya yote naomba tafsiri ya hiyo lugha maana naona tunapelekana chaka wadau!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…