Mtihani unazidi kuniandama

Mtihani unazidi kuniandama

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,966
HABARI ZA MUDA HUU

Thread yangu ilopita niliuliza swali kuwa
"JE NI UJANJA AU USHAMBA KUFANYA MAPENZI NA SHEMEJI YAKO? (wa kike)

Hili niliuliza pale ambapo mpenzi ninayeishi naye amekuja na mdogo wake nae ni mzuri kuliko yeye....
Lakini kulingana na koment zenu wadau ikanibidi suala la kumfokonyoa shemu nilipotezee.

Lakini sasa kitu ambacho kinataka kujitokeza ni kwamba mpenz wangu anataka kusafiri kwenda harusini kiasi cha kama wiki mbili hivi. Maana harusi inamuhusu yeye sana... Lakini ameshauri kuwa mdogo wake abaki na mimi MZEE WA KASUMBA tu hakuna shida.

Sasa jamani si mnaona jinsi shetani alivyo na makusudi?

Unawezaje kumuweka simba na swala katika zizi moja?


USHAURI WENU TENA UNAHITAJIKA.
 
Usimsingizie shetani ni tamaa zako....wazuri woote hujawaona umemuona shemeji yako tu!?Shetani akikuzidi nguvu uje utuambie
 
Kama kweli hii (yaani namaanisha sio ya kutunga) utakuwa huna kazi ya maana ya kufanya na huna kipato kizuri kiasi cha kukufanya ukae nyumbani muda mwingi na uishie kuona kila kitu anachofanya shemeji yako hivyo kukupelekea kutamani kumgegeda

:Ushauri tafuta kazi ya kufanya, ama kama huwezi kupata kazi anza kushinda kwenye vijiwe vya kahawa rudi nyumbani usiku na utoke saa kumi na moja alfajiri
 
Acha mambo ya kiboyaa mkuu, c utafute dem mtaan hukoo, kwan lazma ulale na shemeji yako. Shame on u
 
Usifanye iyo dhambi hata bible inakataza usimfunue uchi ndugu wa mkeo ila kama unamhurumia anateseka na nyege mtafutie jamaa ake nae pale muintroduce kwamba ni mfanya kazi pale
 
Daaah mzee , hata kama wewe na mke wako ni totally sio ndugu so the same na mdogo ake sio ndugu kabisa, Lkn
Sasa tamaa gani hiyo lkn?, kwan uzur wa Sura unafanya kule chini kubadilike?
So jitatahid
1.ujithibit (self control)
2.uwe na mipika
3.Heshima kwa mkeo na shemej ako pamoja na familia yako
4. Uwe na utu
5. Heshimu mila na desturi
 
Nani anamtaka mwenzake kati yako na wifi.....?
 
Ni bora kuwa mtumwa wa minyororo kuliko kuwa mtumwa wa kifikra/tamaa.

Kwa sasa unahisi mihemko.ya kupenda but soon utachukia maamuzi.

Ebu muache Tafadhali.
 
Lakin huyo mkeo inamuingia akilini kukacha na mdogo ake?

Kuna mukusudi au mtego?..

Au tuseme kaona bora umle mdgo ake kuliko ukahangaike na wengine huko nje?

Kwanza huyo mke ni wa ndoa au mnaishi tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom