Hebu tu assume tu kuwa huwa mnamaanishaIla huu huwa ni mtihani wanaume wengine wakiomba mchezo na kukubaliwa mapema huwa wanaamini mwanamke hana msimamo,kumbe binti anafanya hvyo kulinda mahusiano..hapo possibility ya kuendelea na mahusiano inakua ndogo..
Wengine wakicheleweshewa mchezo pia ni tatizo wanaanza kujitoa kimyakimya..
Mtihani zama hizi za DIGITALI ni wasiwasi JE MWENZA MPYA SI MTUMIAJI WA KABANG/TTIGO????????? Na unaanze kumuamini na KABANGANG yako hivi hivi kireja reja? Wengine mafirauni kweli hashindwi kujifanya kakosea njia! Nyamaaaaf!
Ha ha ha ha aaaaaa.. lara 1 kweli umefikiria nje ya box, sikuwaza kuhusu hilo.Huu mtihani unawakabili Mabikra tu! Ila kama used tayari it is expected katika digitali kuwa game zitapigwa kama kawaida except maybe WHEN IS THE RIGHT TIME! Ila jibu kuwa game ndio survival ya mahusiahano unalo mkononi!
Mtihani zama hizi za DIGITALI ni wasiwasi JE MWENZA MPYA SI MTUMIAJI WA KABANG/TTIGO????????? Na unaanze kumuamini na KABANGANG yako hivi hivi kireja reja? Wengine mafirauni kweli hashindwi kujifanya kakosea njia! Nyamaaaaf!
Uzoefu unanionesha kuwa hakuna mwanamke yoyote aliyekuwa anamaanisha hiki kama alikisema mwanzo
Tatizo wanawake huwa hawamaanishi wakisemacho huwa wanasema kwa kujaribu tu na ukionesha kukubaliana nae na iketokea akaja "geto" yeye ndio huanzisha "uchokozi"!!!!!!
Kwa nini mnapenda kuwa wasemaji wa wanawake?
Lara 1,tru tht..Ingekuwa kwamba ukitunza bikra una GUARANTEE kumpata a man who has it all sawa zngetunzwa kw bidii,since hakuna ...dose inakuwa'supplied kama kawaida n mr right wl b found in th process
Halafu unaamini atakusubiri....
Utasubirishwa na wengi kama utaenda kwa mtindo huo