Mtihani unaowakabili baadhi ya wanawake waingiapo katika uhusiano mpya....

Khaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Una khatari wewe mtoto wa kike!

Huruma?
Au kuna wakati mnakuwa na njaa ya kupitiliza?
Maana yule binti sikuile ilikuwa ni balaa maana alikuwa na ham ya kupitiliza naona alishindwa kujizuia
Umenifanya nikumbuke tukio ambalo limenisababishia hisia ambazo sikutarajia kuwa nazo asubuhi hii....lol!!!![/QUOTE]
Yote yanaweza kuwa sababu,huruma,njaa ya kupitiliza,mapenzi kwa mwenza au hata hofu ya jamaa kumega nje!
Hapo kwa bold, Pole!!!! Ila natumai haitaathiri utendaji wako wa kazi.... lol
 
kwa upande wangu ni kwasbb ni dhambi.
Lakini unatamani,sindio eeeeh?
yes Mungu amekataza
Asingekataza je?
na pia kuna madhara ndio km mimba zisotarajiwa
Nadhani hujui madhara wewe
Siku hizi kuna namna ya kuzuia mimba kama hutaki
Hakuna madhara hapo

Madhara ya kunywa maji ambayo hayajachemshwa ni kupata taifodi
Niambie madhara ya kufanya mapenzi kabla ya "ndoa"
na kubwa zaidi unakuwa umekiuka moja ya misingi ya ndoa
Misingi ipi mrembo?
 
Huu mtihani unawakabili Mabikra tu! Ila kama used tayari it is expected katika digitali kuwa game zitapigwa kama kawaida except maybe WHEN IS THE RIGHT TIME! Ila jibu kuwa game ndio survival ya mahusiahano unalo mkononi!

Mtihani zama hizi za DIGITALI ni wasiwasi JE MWENZA MPYA SI MTUMIAJI WA KABANG/TTIGO????????? Na unaanze kumuamini na KABANGANG yako hivi hivi kireja reja? Wengine mafirauni kweli hashindwi kujifanya kakosea njia! Nyamaaaaf!

Hivi ni kweli wapo wanaume ambao wanafanya ngono na wanawake kwa kuwaingizia uume kwenye sehemu za haja kubwa?
Mpaka leo sipati picha kiukweli hivi ni kweli hakuna adha ya vima na harufu za kinyesi zinazoweza kuufanya uume ukatae kusimama?
Kweli wanadamu ni viumbe wa ajabu sana
 
Yote yanaweza kuwa sababu,huruma,njaa ya kupitiliza,mapenzi kwa mwenza au hata hofu ya jamaa kumega nje!
Kipi kati ya hivi kinaweza kukufanya nikakumega kabla ya wakati
Kumbuka nakuuliza wewe Ennie !!!
Hapo kwa bold, Pole!!!! Ila natumai haitaathiri utendaji wako wa kazi.... lol
Haiwezi ila nimefikiria hadi imenibidi nirekebishe hii jeans yangu eneo la mbele...lol!!!
 
Last edited by a moderator:
Lakini unatamani,sindio eeeeh?

Asingekataza je?

Nadhani hujui madhara wewe
Siku hizi kuna namna ya kuzuia mimba kama hutaki
Hakuna madhara hapo

Madhara ya kunywa maji ambayo hayajachemshwa ni kupata taifodi
Niambie madhara ya kufanya mapenzi kabla ya "ndoa"

Misingi ipi mrembo?

Hahahaa haaaa
Eiyer mbona Unanitega?
Yes hata mi nina hisia kwnn nisitamani!!?

isingekatazwa manaake ingekuwa halali so ningefanya tu coz ni ruksa.

mimba utaniambia kuna condom
bt kumbuka mimba zinazotolewa ni nyingi sn though kuna cdm
achilia mbali watt wanaozaliwa wanatelekezwa,bado watt wanaozaliwa b4 mtu hajaoa/kuolewa mwisho wa cku mtu anabadiri maamuzi mtt anabaki kuteseka,
Huoni madhara mpaka hapo?

kaka angu ndoa ina misingi yake
narudi kwa hili
 
Kipi kati ya hivi kinaweza kukufanya nikakumega kabla ya wakati
Kumbuka nakuuliza wewe Ennie !!!

Haiwezi ila nimefikiria hadi imenibidi nirekebishe hii jeans yangu eneo la mbele...lol!!!

Inategemea na vitu vingi Eiyer

Una vituko wewe! Nimechekaje?
 
Last edited by a moderator:
Yes mkuu..... Wachape lapa! Et limtu linakuja kukufatilia weeeee kwa kigezo cha NDOA ukikubali tu anaanza lini sasa unanipa. Mwe kimekuwa chakula????

Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Kwani kuna ubaya gani kumpa mwenzio wakati utampa tu?????
CC: Asprin !!
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa nakerekwa sana demu anavyoniambia eti nisubiri mpaka Jumatatu wakati sikuu hiyo ni Jumanne!! So I have wait a week!! Au eti nipo kwa siku zangu!! Damn

Siku hizi wanakamchezo kao kachafu sana
Akikuambia hakupi jua kuna "-----" linakumegea kiulaiiini!

Na akikuambia yupo kwenye siku zake usiishie kukubali tu kwa kukuonesha "pedi"
Wengine wanawekaga tomato sosi ....lol!
 
habar kw ufupi ndo hyooo..unaweza jisubirisha wee af ukapata pasua kichwa km mnavyojua good girls end up wt th bad guys..

Hahahaa haaaa
aah wapi
Mungu wa ajabu kweli
cjui labda niseme nimebahatika

na ucpokua makini utafunuliwa wee mpaka ushangae
 
Siku hizi wanakamchezo kao kachafu sana
Akikuambia hakupi jua kuna "-----" linakumegea kiulaiiini!

Na akikuambia yupo kwenye siku zake usiishie kukubali tu kwa kukuonesha "pedi"
Wengine wanawekaga tomato sosi ....lol!

khaaaaa ww Eiyer ujue una vituko ww
ckuhiz bado kuna mambo haya?
no bana
 
Hahahaa haaaa
Eiyer mbona Unanitega?
Yes hata mi nina hisia kwnn nisitamani!!?

isingekatazwa manaake ingekuwa halali so ningefanya tu coz ni ruksa.

mimba utaniambia kuna condom
bt kumbuka mimba zinazotolewa ni nyingi sn though kuna cdm
achilia mbali watt wanaozaliwa wanatelekezwa,bado watt wanaozaliwa b4 mtu hajaoa/kuolewa mwisho wa cku mtu anabadiri maamuzi mtt anabaki kuteseka,
Huoni madhara mpaka hapo?

kaka angu ndoa ina misingi yake
narudi kwa hili
Na kama ukiolewa kisha ukatelekezwa baada ya kupata mtoto, ina maana hatateseka kwa sababu ulishafunga ndoa.....
Nakuuliza wewe christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom