Mtihani unaowakabili baadhi ya wanawake waingiapo katika uhusiano mpya....

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
unhappy-couple.jpg

Ni pale mwanaume anapoonyesha tamaa kubwa ya ngono na kulazimisha kukutana kimwili wakati mwanamke aliweka msimamo wa kutokutana kimwili na mwanaume yeyote mpaka baada ya muda fulani tangu kufahamiana na kuwa wachumba au mpaka pale watakapofunga ndoa.

couple-sad.jpg

Huu ni mtihani kwa wanawake wengi kwa sababu unawaweka katika wakati mgumu wa kuchagua kuvunja nadhiri waliojiwekea au kusimama imara kwenye msimamo waliyojiwekea kwa ajili yakulinda heshima zao.

Swali kwa wanawake: Je unapokabiliwa na mtihani kama huu ni uamuzi gani unaona ni sahihi kwako….?
 
Huu mtihani unawakabili Mabikra tu! Ila kama used tayari it is expected katika digitali kuwa game zitapigwa kama kawaida except maybe WHEN IS THE RIGHT TIME! Ila jibu kuwa game ndio survival ya mahusiahano unalo mkononi!

Mtihani zama hizi za DIGITALI ni wasiwasi JE MWENZA MPYA SI MTUMIAJI WA KABANG/TTIGO????????? Na unaanze kumuamini na KABANGANG yako hivi hivi kireja reja? Wengine mafirauni kweli hashindwi kujifanya kakosea njia! Nyamaaaaf!
 
Huu unakua mtihani kama mwanamke amejiwekea dhamira ya kutofanya mpaka muda fulani upite ila swali la kujiuliza kwa sasa je ni wanawake wangapi wanajiwekea nia hiyo. Kwa upeo wangu mimi kama mwanaume huwa inatokea tu umejilia mzigo kiulainiiiiiiiiiiiii, kama unabisha karibu kwenye christmas party officin kwetu mwisho wa mwezi....
 
Ila huu huwa ni mtihani wanaume wengine wakiomba mchezo na kukubaliwa mapema huwa wanaamini mwanamke hana msimamo,kumbe binti anafanya hvyo kulinda mahusiano..hapo possibility ya kuendelea na mahusiano inakua ndogo..
Wengine wakicheleweshewa mchezo pia ni tatizo wanaanza kujitoa kimyakimya..
 
Uzoefu unanionesha kuwa hakuna mwanamke yoyote aliyekuwa anamaanisha hiki kama alikisema mwanzo

Tatizo wanawake huwa hawamaanishi wakisemacho huwa wanasema kwa kujaribu tu na ukionesha kukubaliana nae na iketokea akaja "geto" yeye ndio huanzisha "uchokozi"!!!!!!
 
Ila huu huwa ni mtihani wanaume wengine wakiomba mchezo na kukubaliwa mapema huwa wanaamini mwanamke hana msimamo,kumbe binti anafanya hvyo kulinda mahusiano..hapo possibility ya kuendelea na mahusiano inakua ndogo..
Wengine wakicheleweshewa mchezo pia ni tatizo wanaanza kujitoa kimyakimya..
Hebu tu assume tu kuwa huwa mnamaanisha
Hivi huwa mnasuburia nini?
Ni nini hasa point ya kusubiri?
 
hahaha yaaaaaani kaenda UARABUNI badala ya BONDENI
Mtihani zama hizi za DIGITALI ni wasiwasi JE MWENZA MPYA SI MTUMIAJI WA KABANG/TTIGO????????? Na unaanze kumuamini na KABANGANG yako hivi hivi kireja reja? Wengine mafirauni kweli hashindwi kujifanya kakosea njia! Nyamaaaaf!
 
Huu mtihani unawakabili Mabikra tu! Ila kama used tayari it is expected katika digitali kuwa game zitapigwa kama kawaida except maybe WHEN IS THE RIGHT TIME! Ila jibu kuwa game ndio survival ya mahusiahano unalo mkononi!

Mtihani zama hizi za DIGITALI ni wasiwasi JE MWENZA MPYA SI MTUMIAJI WA KABANG/TTIGO????????? Na unaanze kumuamini na KABANGANG yako hivi hivi kireja reja? Wengine mafirauni kweli hashindwi kujifanya kakosea njia! Nyamaaaaf!
Ha ha ha ha aaaaaa.. lara 1 kweli umefikiria nje ya box, sikuwaza kuhusu hilo.
 
Last edited by a moderator:
Sex inaonekana kuwa mzigo kwa wanawake, mhhh, ni kweli wengi huona sex kama kazi. Tatizo ni kuwa lengo namba moja la mwanaume kutafuta mahusiano na mwanamke ni kupata sex. Vinginevyo wanaume hupenda marafiki wa kiume zaidi kwani wana mawazo yanayofanana. Ni sex tu ndo inayowapeleka (drive) wanaume kwa wanawake. Bahati mbaya wanawake nao wanatafuta kitu tofauti. Mhhh, kuleta urari (balance) katika suala hili ndo changamoto ya maisha ya mahusiano. Ni full migogoro.
Yaani sex ni sababu ya kwanza kuleta migogoro kati ya mwanamke na mwanaume ndani ya mahusiano. Inaelekea sexual evolution ya mwanamke na mwanaume vinakwenda mshazari - haviwasiliani kabisa. Yaani hakutakuwa na amani kati ya ke na me katika mahusiano kama sex si sehemu ya mpango mzima!
 
Lara 1,tru tht..Ingekuwa kwamba ukitunza bikra una GUARANTEE kumpata a man who has it all sawa zngetunzwa kw bidii,since hakuna ...dose inakuwa'supplied kama kawaida n mr right wl b found in th process

Khaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa sababu wanawake hawawezi kujisemea, wanaona aibu kusema mambo yao....

Yetoni!! Eiyer kasema wanawake huwa hawamaanishi wanachosema,nawe unasema hawawezi kujisemea!
Hebu mtuache tujisemee wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Halafu unaamini atakusubiri....
Utasubirishwa na wengi kama utaenda kwa mtindo huo

Na hatompata kamwe
Ndio maana na mimi najitahiti nimpate wa kuondoa bikra yangu ili nikija kuoa niwe used tayari....lol!!!!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom