SportSpapeR
Member
- Sep 20, 2015
- 7
- 4
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MTIHANA WA NEC
OCT 25/2015
SEHEMU: A
Maswali ya kuchagua
1. Mvua inapatikana wapi?
A.thailand B. Mawinguni
2. Ripoti ya mwakyembe inasema mhusika wa richmond ni
A.EL B. Wakubwa C. Kikwete
SEHEM B
3.Elezea namna elimu ya bure inavyotolewa huku kodi ya wafanyabiashara ikishushwa na nchi ikiwa na deni kubwa
4.Orodhesha majinia ya List Of Shame wanaotaka uraisi.
5. Je uchaguzi wa Tanzania Mwaka huu tunachagua viongozi wa dini?? Jibu swali hili kwa kutumia kauli ya "nchi hii haijawahi kuwa Rais Mlutheri"
6. Ni kwa jinsi gani dini na siasa vinaingiliana hasa wakati wa kampeni, ukizingatia kauli na ushiriki wa Gwajima
SEHEMU C
7. Ondoa utata kwenye sentensi zifuatazo
* "Ccm is my life, ambaye hanitaki ccm aondoke yeye/ccm sio baba yangu wala sio mama yangu"
* "nitaendeleza pale alipoishia mh Jakaya/ jakaya na rafiki zake wameharibu uchumi wa nchi hii"
*wapo wananchi wanaamin ccm inauwezo wa kuleta mabadiliko/ccm ni shida"
*Lowassa "nitatoa Elimu ya bure" /bulayo "tukuiingia madarakan nitasomesha bure wale watakaokosa ada"
SEHEMU D
8. Andika insha ya vichwa vya habari vifuatavyo
*ccm ikishinda sina tatizo nayo:sumaye
*sina shida na magufuli akishinda ni sawa tu: sumaye
*sihitaji madaraka ila nataka kuwasaidia" je unataka kusaidia vipi ikiwa huhitaji madaraka? Je unasaidia nini ikiwa unaamini magufuli anaweza?
9. Elezea uwezekano wa mtu aliyeshindwa kuondoa nyumba za nyasi monduli kwa miaka 30 na atakavyondoa nyumba za nyasi tanzania nzima kwa siku 100.
10. Onesha namna watu waishio kwa matumaini walivyofaidi million 150 katika utawala wa Lowassa.
SEHEMU F
11. Toa maoni yako,
Je tanzania ni nchi ya Masela? Mpaka ukimsaidia mwenzio kuwa raisi lazima na yeye akusaidie?
12. Kweli is kweli
#Lowassa is kigeugeu
#Sumaye haeleweki
#Slaa ni msema kweli
#Gwajima dini immemshinda
#Haji duni anazungumzia wanawake wanavyoteseka kwa sababu yeye anateseka pia na mke na watoto wake
13. "Nataka kuwa raisi, ntakuwa raisi by any means niwatumikie wa Tanzania" tetea kauli hii au kataa
14. "Push up ni njia mojawapo ya ukakamavu na sio kushikilia steji" kanusha kauli hii.
15. Waliozimia tanga ni wale walitokea Kilimanjaro, arusha na manyara" kanusha kauli hii
16.Taja mahali yanapopatikana madini makubwa makubwa
17. Andika viongozi wa zaman wa TADIP waliojiondoka Chadema
18. Andika vifupi vya maneno yafuatayo
Richard Monduli........
Ujinga ni Kawaida ya Wapinzani......
Lolote watakalo sawa.........
19. Unafiki ni kukaa miaka 7 bila kusema mhusika wa Richmond leo unasema ni ya wakubwa" jadili
20. Changanua namna ule wimbo wa mafisadi ulivyofungiwa na ukawa kama nyimbo ya Roma!