Mtihani mgumu..

Kama ana hadhi yakufanyiwa hayo yote kwanini kaachwa? Kweli kupenda kubaya aisee!!! Piga chini huyo mbona wapo wengi sana watakaoendana nawe? Anyway wengi wamekushauri bt uamuzi ni wako kijana.... kila la kheri
 
Nmeamua nijitoe tu ila nahtaj hekima kumueleza aelewe na asibaki na kinyongo na mimi

Yeye alitumia hekima kukubania ilihali umeghramia hiyo sehemu alafu kazingua hata hakuguswa na hisia zako. Hekimaaaa uko wapi hekimaaa,,,
 

Mi kama nimemuelewa flesh mtoa mada ni kuwa issue sio mtoto,, issue ni hayo masharti yoote hapo,,, jamani hata kugegeda kitu kilichotumika hadi kikazaa matunda hataki!!! Hapana
 

Issue kubwa hapo ni hayo masharti mengine e.g hakuna kupiga game hadi waoane, najiuliza labda hata huyo mtoto alimpata baada ya kuolewa na jamaa baadae ndo wakaachana,,, to me kuwa na mtoto sio issue,, issue ni hayo masharti
 
Hivi umeelewa mada.
please usinichoshe na miswali yako pia kama vipi muoe wewe
 
Nadhani mkuu palipokuchanganya zaidi ni hapo kwenye kupima afya......hapo ndio panapotakiwa kuonyesha uanaume....ukishafaulu hapo..utakuwa umeshatengua masharti mengine yote............KUPIMA SIO KAZI, KAZI IPO KUCHUKUA MAJIBU.........
 
yani hujui hata pakushika upate uroda .. yani wewe ni -----
 
Reactions: amu
Mkuu kwani hakuna demu wa kuoa ambaye bado hajazaa? Huyo atakuendesha kwani amekuzidi sana!
 
Issue kubwa hapo ni hayo masharti mengine e.g hakuna kupiga game hadi waoane, najiuliza labda hata huyo mtoto alimpata baada ya kuolewa na jamaa baadae ndo wakaachana,,, to me kuwa na mtoto sio issue,, issue ni hayo masharti

Jamaa angetulia wapime kwanza then aone kama hatapewa tundi. Me naona bidada yupo sawa maana huwezi kujirahisi kwa mtu bila hata kuweka mkwara kwanza kisa umezaa. Watoto wanatafutwa na anaemdharau mwanamke mwenye mtoto nina mashaka na uelewa wake. Kila siku watu wanalalamika kuhusu kutupa watoto afu wengine wanapondea wenye watoto.
 
hamna kitu kigumu kama kunyimwa gemu,,mi akinyima siangalii kitu,nafanya mambo yangu tu
 
Umri wako bado mdogo xana bro kwa habar ya ndoa.....Pia yaonesha bado ww ni mgeni na habari hizo.....Ukiendelea kufakamia ivo utanunua shida ya milele. Mdada mzuri hapatikani mbali huko...kiasi hamuonani mwaka mzima. Wa aproach wadada wanaopatikana kwenye maeneo unayoish au kufany kazi.

KWA FAIDA YAKO...UYO PIGA CHINI....MWACHE AENDELEE KULEA. OKOA MUDA WAKO MEN!!!
 

24 yrs...!!! you are too young to marry an already mother!!!...anyway kipenda roho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…