Mtihani mgumu

Huyo inaonyesha ni jinsi gani alivyo boya. maana funguo ipo karibu zaidi ya huo mkate na funguo hapo ndio kila kitu maana itamfanya awe huru na mkate wao anakula huku akisepa zake.
 
Wengi watamuona jamaa ni mjinga lakini mm namuona kama shujaa anayetaka kuokoa maisha yake, jamani njaa ni mbaya sana tena zaidi ya sana. Ukiwa na njaa hutoweza kuongea (kuongea ni jambo rahisi) lkn huyo huyo ukimwambia akapike chakula atapata nguvu za kwenda kupika (kupika ni jambo gumu kuzidi la kuongea)
 
Huyo inaonyesha ni jinsi gani alivyo boya. maana funguo ipo karibu zaidi ya huo mkate na funguo hapo ndio kila kitu maana itamfanya awe huru na mkate wao anakula huku akisepa zake.
Ana njaa ya kufa mtu alafu hako kamti kanaweza kuvunjika muda wowote!
 
Njaa haina baunsa mkuu mtego mkali sana huo akichukua funguo imekula kwake!
 
Funguo, ili kila waonapo mkate wajue mjaa yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…