ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,892
- 3,330
Sawa mkuu asante kwa ushauriKurudia masomo kwa njia ipi ya kurisiti au kurudi kidato cha pili kabisa ama kwa mtindo upi?
Na kabla hujachukua maamuzi ya kumrudisha shule muulize kwanza kilichomfelisha ni kitu gani? Ilikuwa hana akili? Hapati mda wa kusoma? Material harifu? Makundi yalimzidi? Au nini hasa kilichomfanya afeli?
Ukishajua hayo itakuwa rahisi kujua unawezaje kumrudisha shule na kwa njia ipi!?
Isije ikawa anataka kurudi shule kwa hamu tuu na kwa kuwa amekaa tuu nyumabani!
Fatilia hayo kwanza then tutajua tunaanzia wap!?
Hongera Sana best kwa Ushauri MzuriKurudia masomo kwa njia ipi ya kurisiti au kurudi kidato cha pili kabisa ama kwa mtindo upi?
Na kabla hujachukua maamuzi ya kumrudisha shule muulize kwanza kilichomfelisha ni kitu gani? Ilikuwa hana akili? Hapati mda wa kusoma? Material harifu? Makundi yalimzidi? Au nini hasa kilichomfanya afeli?
Ukishajua hayo itakuwa rahisi kujua unawezaje kumrudisha shule na kwa njia ipi!?
Isije ikawa anataka kurudi shule kwa hamu tuu na kwa kuwa amekaa tuu nyumabani!
Fatilia hayo kwanza then tutajua tunaanzia wap!?
NACTE wanatoa ithibati kwa vyuon vinavyochukua watu wenye zero?ASIRUDIE MTIHANI
Mtafutie chuo akasome course yoyote certificate. Vyuo vilivyo chini ya NACTE
Kuna course nyingi mfano maendeleo ya jamii, biashara, na zinginezo.
Akimaliza certificate aende diploma then degree.
NACTE wanatoa ithibati kwa vyuon vinavyochukua watu wenye zero?
Afadhali mummie umenisaidiaHapana kwa kweli
Habari wakuu katika jukwaa la elimu,
Nina shida moja nina mdogo wangu wa kike amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana matokeo yametoka amepata zero sasa amekaa home lakini sasa ivi anajutia na anaomba asome sasa nishaurini kutokana na matokeo yake asome fani gani au arudie mtihani na kama kurudia masomo napitia mchakato upi ili kumuendeleza.
ASIRUDIE MTIHANI