Mtifuano wa CHADEMA vs ACT ubunge wa EALA, Lissu awaambia ACT wasitumiwe na CCM

Jamani eeeh! Mradi WA vichaa WA CCM ku create fake acçounts kuwachonganisha wanasiasa wa Tanzania, hususani Wapinzani! Tundu Antipas Lissu Hana account FB, Twitter, etc! Ana WhatsApp na Telegram pekee, hizo mbili zipo kwenye Simu inayoshikiliwa na punguani mmoja aitwae Simon Siro! Telegram Account ni kwa ajili ya TLS Portal pekee! Sasa endeleeni kumaliza bundles huku mkiumiza roho zenu kwa vitu fake!
Be Warned!
Ahsante kama hili ni kweli!
Nilishaanza kuona sasa CDM mnavuka mipaka kuwaonea vyama vidogo!
Ni busara kwa CDM kukubali challenge za namna hii ya zitto kwanza ndio zinawakomaza!
 
Ahsante kama hili ni kweli!
Nilishaanza kuona sasa CDM mnavuka mipaka kuwaonea vyama vidogo!
Ni busara kwa CDM kukubali challenge za namna hii ya zitto kwanza ndio zinawakomaza!
Hakuna mtu anaitwa Tundu Antiphas Lissu! Tuna Tundu Antipas Lissu! So these Idiots are playing games with people! Hovyo kweli!
 
Lakini kajibu very professional na walipigania hizo nafasi kijanja, zaidi ya yote Wagombea wao ni positive zaidi kuliko wengine wengi wa upinzani.
Nawatakia kila lakher
Rejea kwa umakini maamuzi ya bunge juu ya suala hilo..

Ni halali kuhoji integrity ya Mkumbo...
 
Ila tuseme ukweli ...Profesa Kitila ndiye muwakilishi sahihi kutoka upinzani ....
Kuna watu hata hawaelewi huu uwakikishi ni wa nini. Huu ni uwakilishi wa wananchi kupitia Bunge. Anayewakilisha wananchi wengi zaidi ndani ya Bunge la JMT, atakuwa na wawakilishi wengi zaidi kwenye Bunge la EA.

Mengine yote ni porojo.
 
Kwani hizo sheria zilizowekwa zinazokipa CCM nafasi 6, CDM nafasi 2 na CUF nafasi 1 ziliwekwa na nani? Je walioziweka waliziweka wakiwa na akili timamu au walikuwa wamelewa bange na viroba? Kwanini wasiendelee kuziheshimu kwa kuzifuata mpaka wazibadilishe sasa? Je wanataka wazibadilishe kwa maslahi ya nchi au chama? Kama tunataka kusonga mbele tusiwe tunabadili sheria kila kukicha mnatuchanganya wananchi!!
 
Back
Top Bottom