Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Faustin Mtui, mwanasheria na mkazi wa kata ya Marangu Magharibi, amejiunga rasmi katika mbio za kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiambatana na mbwa maalum wa doria waliompatia umaarufu katika mapambano dhidi ya uhalifu.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mtui alifika katika ofisi za CCM Wilaya ya Moshi vijijini akiwa na mbwa waliovutia hisia za wengi, akieleza kuwa uamuzi wake wa kuwania ubunge umetokana na msukumo wa wananchi waliothamini juhudi zake za kupambana na uhalifu bila kuwa na cheo chochote cha uongozi.