Mti ufukuzao mbu

Tabu yote ya nini, pandeni majani ya mchai chai, kwanza yanafaida kibao... unafukuza mbu, pia unaweza kutumia kwenye chai kwa kupata radha nzuri pia inatibu baadhi ya maradhi tumboni (Homa ya manjano n.k).
 
Kwenda zako na Kiswahili chako cha Kihaya. Kwa nini pasipostahili "H" wewe unaweka, na panapostahili huweki.

Kumbe hiki ni kisw cha kihaya!
Nasoma post za wa2 jf kunaviswahili sijui vya wapi. Eg nanilii, naniliu, na mengine mengi...
 

Naomba kuuliza ndugu yangu, mie nimejaribu kuutafuta huu mti na nimepata, naomba kuuliza swali ili niwe na uhakika kama nilioupata ndio wenyewe hasa,

Majani yake yanafanana na ulioutuma,
Je huu mti una miba kwenye shina lake? nitafurahi ukinijibu.
 
Domo Kaya hii avatar yako nikiiona tu mwili unanisisimka!! uliitoa wapi hii?? Kwa jinsi avatar yako ilivyo wala huhitaji hata mti wa kufukuza mbu manake wenyewe wakikuona tu lazima watimue mbio.

Mshakaji wangu hii avatar imeshidwa kazi, mbu nyumbani kwangu wa kudedi people. maralia haiishi
 
Hii ni habari njema sana hususan kwetu wa mtaa wa kwamfuga mbu,je unapatikana wapi mti huu?
 
Hivi mti huu ukifukuza mbu nyumbani kwako, wanakwenda kwa jirani sio?.... na imeandikwa "mpende jirani yako..."
 
cha muhimu hapa ni picha au jina kamili la huo mti
Kivumbasi ndy mti wanyewe
Mti unaitwa kivumbasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…