Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Nakuelewa sana, i ve been therePain change people mkuu, yakikukuta mambo kama haya lazima utajifunza na kubadilisha vipaombele vyako
Nakuelewa sana, i ve been therePain change people mkuu, yakikukuta mambo kama haya lazima utajifunza na kubadilisha vipaombele vyako
Umenena vyema!Eh zama hizi hakuna muda wa kupoteza, mtu ambae hakuthamini hata umfanyie nini haoni wala hajali....dawa ni moja tu kuondoka umwache peke yake ni heri kuwa pekee kuliko kuwa na mtu aliye kama mfu au kupoteza mda kuthibitisha thamani yako kwa kipofu
Upo?Umenena vyema!
Nipo dear, za wewe?Upo?
Nzuri kabisa! Nimekumiss mnoNipo dear, za wewe?
'Umenimiss mno' baada ya kukuchunia?[emoji6]Nzuri kabisa! Nimekumiss mno