Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
Kabisa na mtu akishaona unampenda anakufanyia makusudi bado unaendelea kumtaka basi ndo atakuumiza na kuku take for granted .. Unajikuta unapoteza muda bure, unang'ang'ania mtu miaka mitatu wakati ungekua umemuacha hio miaka mitatu ungekua umepona tayari na ushamsahau kitambo
Tatizo unadhani love doesnt require workThat is not love, love means the understanding and agreement of two people with the same feelings"
Love ni kujaliana, kupendana, kuheshimiana, kutumia muda mwingi pamoja (mawasiliano) haijalishi distance ... But ukishaona hivyo vitu havipo jua hayo sio mapenzi, kuna kitu kinaitwa one side relationship yani wewe peke yako ndio unajali, una heshimu, una call au una text first usipofanya hivyo ndio basi imetoka mwenzako hakutafuti wala nini, sasa hayo sio mapenzi huo ni uboya one side relationship sio sacrifice za mahusiano love is cheap kama mapenzi yapo yata flow yenyewe tu automatically hakutakua na haja ya kutumia nguvu kubwa wala ku suffer.
"The more you love kiboya the you suffer
Work au ku suffer katika mapenzi, au sacrifice katika love, zipo lakini kama mnapendana hua ni sehemu ambayo haina effect yoyote, tofauti na ile suffering inayotokea kwenye one side relationship.. Nakubali kuna sacrifice katika love ndo maana hata kanisani kuna kipengele wanasema mvumiliane kwenye shida na raha,, but hio shida na raha ni mkiwa within a true love,, tofauti na scenario aliyoiongelea hapa mtoa uzi, maana kuna vitu vingine vinaonekana wazi kabisa kua hapa upendo haupo, au hapa huyu mtu ananitumia for granted, (mfano mwanaume akiwa na pesa ndo mwanamke anaonekana kumjali, au mwanaume akiwa na hamu ya tendo ndo anaanza kumjali mwanamke wake)Tatizo unadhani love doesnt require work
Kama ni mkristo soma Cor 13-inaeleza maana ya upendo/love
Moja wapo ni long-suffering
Ndo mana kila mtu at some point mapenzi yamemuumiza...
Hamna mapenzi yaliyonyooka u have to work for it both of u...if calls are not aswered keep quiet ts part of the process..
Smtimes hupigiwi cause unapiga sana wewe
Kaa kimya atapiga mwenzako
SureHujui to love is to suffer?.
That is not love, love means the understanding and agreement of two people with the same feelings"
Love ni kujaliana, kupendana, kuheshimiana, kutumia muda mwingi pamoja (mawasiliano) haijalishi distance ... But ukishaona hivyo vitu havipo jua hayo sio mapenzi, kuna kitu kinaitwa one side relationship yani wewe peke yako ndio unajali, una heshimu, una call au una text first usipofanya hivyo ndio basi imetoka mwenzako hakutafuti wala nini, sasa hayo sio mapenzi huo ni uboya one side relationship sio sacrifice za mahusiano love is cheap kama mapenzi yapo yata flow yenyewe tu automatically hakutakua na haja ya kutumia nguvu kubwa wala ku suffer.
"The more you love kiboya the more you suffer
Haha! dahGone are the days, being a slave in the name of Love.
Can't deal.
Hivi bado kuna watu wanaangaikia kupendwa?AMANI katika uhusiano ni hitaji la kila mmoja. Kila mtu akiwa na mtu ampendaye, kumjali na kumpa kipaumbele ni kitu cha kawaida katika maisha yake. Ila vipi ukiwa na mtu unayempenda sana ila yeye haonyeshi kukujali na kukuthamini? Mtu wa aina hii, unahitajika pia kuendelea kumwonyesha kumjali na kumpa hadhi kamili katika mahusiano yako?
Kama uko na mtu ambaye haonyeshi thamani na hadhi katika maisha yako japo huwa anasema anakupenda sana, unatakiwa kufanya yafuatayo.
Onyesha kumpenda na kumjali. Onyesha ni kwa namna gani ana thamani na umuhimu katika maisha yako. Japo itakuwa inauma kuonyesha upendo na thamani kwa mtu asiyefanya vile unavyotaka ila kumbuka upendo ni tiba.
Kuonyesha kumpenda na kumjali mtu ni mbegu inayoweza kuota ua la upendo katika nafsi yake. Binadamu kaumbiwa upendo. Hufarijika, hujisikia amani sana pale anapoonyeshwa kupendwa na kuhitajika.
Hivyo kumwonyesha upendo mtu asiyeonyesha kujali ni njia ya kuathiri akili na hisia zake ili uweze kufanikiwa kukuza thamani na hadhi yako katika maisha yake. Tathmini zinaonyesha kila mtu hupenda kuona akipendwa na kuthaminika hata kama haonyeshi kufurahi au kuheshimu suala hilo.
Baada ya kuonyesha kumjali kwa muda mrefu kiasi huku yeye akijifanya hana habari, mpotezee kiaina. Punguza kuonyesha ni kwa kiwango gani unampenda. Punguza kuongea naye juu ya thamani na hadhi aliyo nayo katika nafsi yako. Acha kabisa kulalamika juu ya tabia zake ambazo zimekuwa zikikukera.
Dhamira ya kufanya hivyo ni kumfanya akumbuke hadhi yako katika maisha. Kama nilivyosema mwanzo, kila mtu anapenda kuambiwa maneno matamu na mtu anayempenda, kila mtu hupenda kuona akipendwa na kubabaikiwa, hivyo kuacha mambo hayo kutamfanya aanze kufikiri juu ya tabia yako mpya.
Atajiuliuza ni kwanini sasa umebadilika? Nani anakufanya usimwone wa hadhi na thamani kama ilivyokuwa mwanzo? Maswali hayo, yatampeleka kujiuliza juu ya tabia zake pia.
Ataanza kujitathimini kama alivyokuwa anakutendea ilikuwa haki. Mawazo hayo huweza kumpeleka haraka katika wivu wa kuamini tabia zake za kijinga alizokuwa akikufanyia zimekufanya uwe na mtu mwingine anayekupa unachotaka ndiyo maana sasa hivi huna tena habari naye.
Kwa woga wa kukupoteza anaweza kuanza kukujali na kukufanyia mengi ambayo anahisi alikuwa hakufanyii ili akudhibiti usiende kwa mwingine.
Kosa la wengi katika mahusiano pale wanapoona wenzao hawawajali na kuwapa thamani inayotakiwa ni kuanza kulalamika sana ama kuwalilia na kudhani kwa kufanya hivyo itakuwa njia ya kupendwa na kupewa wanachotaka, kitu ambacho sio kweli hata kidogo.
Mapenzi ni mbinu na mikakati. Unatakiwa kujua kucheza na akili pamoja na hisia za mwenzako ili uweze kutawala maisha yake.
Ukiwa unamlilia sana mwenzako usidhani atabadilika tabia zake za ovyo. Mwenzako ili akupe thamani na hadhi stahili anatakiwa kuhisi wewe ni wa thamani na bora na unatakiwa kutendewa mengi makubwa na siyo hayo anayokutendea. Na njia bora ya kumfanya ahisi wewe ni wa thamani na bora zaidi ni kucheza na hisia pamoja na akili yake.
Ili upendwe sana auhitaji kumfanya mwenzako akuonee huruma. Jenga mazingira ya kumfanya muhusika ajue kabahatika kuwa na wewe ndipo atakupa hadhi na heshima stahili. Siyo kwa kulia wala kutoa lawama kila siku ila kwa kuonyesha wewe ni bora na unaweza kuwa na amani na utulivu hata bila yeye.
Copied from orijino
Lakini bado within the process bado utaumia vilevile cz % kubwa ya (ke/me) hasa Africa ukijishusha chini they take advantage of youHapana kuna wakati ili mbegu ya mapenzi iote kati yenu lazima one side ioze ndo ichipue so we fanya kwa sehemu yako afu Piga kimya kama nlivoeleza
Una akili weweAlways there is a message on how people treat you, mtu kesha kuonyesha dalili kua hakupendi au akujali why usijiongeze au unasubiri mpaka ufumanie au uambiwe.
Wakati mwingine kukaa karibu na moto sio kuota bali ni kujiunguza
Eh zama hizi hakuna muda wa kupoteza, mtu ambae hakuthamini hata umfanyie nini haoni wala hajali....dawa ni moja tu kuondoka umwache peke yake ni heri kuwa pekee kuliko kuwa na mtu aliye kama mfu au kupoteza mda kuthibitisha thamani yako kwa kipofu
Injili ya gheto umenena vyemaThat is not love, love means the understanding and agreement of two people with the same feelings"
Love ni kujaliana, kupendana, kuheshimiana, kutumia muda mwingi pamoja (mawasiliano) haijalishi distance ... But ukishaona hivyo vitu havipo jua hayo sio mapenzi, kuna kitu kinaitwa one side relationship yani wewe peke yako ndio unajali, una heshimu, una call au una text first usipofanya hivyo ndio basi imetoka mwenzako hakutafuti wala nini, sasa hayo sio mapenzi huo ni uboya one side relationship sio sacrifice za mahusiano love is cheap kama mapenzi yapo yata flow yenyewe tu automatically hakutakua na haja ya kutumia nguvu kubwa wala ku suffer.
"The more you love kiboya the more you suffer
Haha! dah
Pain change people mkuu, yakikukuta mambo kama haya lazima utajifunza na kubadilisha vipaombele vyakoUna akili wewe
Asante mkuu hazard DonInjili ya gheto umenena vyema