Mtenda hutendwa wanaohama vyama sikia hii!!!

Mtenda hutendwa wanaohama vyama sikia hii!!!

Wanachama wote wa upinzani hawajawahi kuwa na vyama vingine kabla? Wanachama wangapi wametoka CCm kwenda kuimarisha upinzani! Mimi naona mnataka demokrasia na uhuru wa kuamua ule unaowapendeza nyinyi tu.
Kuhama sio tatizo, swali ni je unahama kwa sababu zipi za msingi?
 
Kuna mbunge wa ukerewe. Watu walimpigania sana, chakushanganza kahamia ccm.kasahau kabisa bodaboda walivyompigania.
Na hapo bila aibu anajikakamua kuja kugombea tena
 
Madiwani wa Shinyanga waliokua CHADEMA awamu ya 4. Walinunuliwa lakini wakapewa hela feki sasa wanajuta.
 
Huyu jamaa si ndiyo akitembea anazungumza mwenyewe

Ova
 
Kuhama sio tatizo, swali ni je unahama kwa sababu zipi za msingi?
Sababu za msingi kwa nani na unapima kwa kigezo kipi kiongozi?. Katika huko kutafuta sababu za msingi za watu, ndio uhuru wa watu kujiamulia unapovamiwa.
 
Maisha bhana! Mpendazoe yuko kigoto, buhongwa mwanza analima nyanya na mvua za hivi karibuni zimemfanya ndivyo sivyo. Zile suti zake za mikono mifupi za enzi ya mzee six zimepauka! Ila maisha Hays
 
Bora hata Mpendazoe hakuupata Ubunge. Kuna akina Waitara, Mtulia... walioupata kwa nguvu ya umma. Kwa maumivu ya watu... Lakini mwishoe wakasaliti.... Kwa kweli hawa wanaumiza hata kuliko akina Mpendazoe.
Maisha bhana! Mpendazoe yuko kigoto, buhongwa mwanza analima nyanya na mvua za hivi karibuni zimemfanya ndivyo sivyo. Zile suti zake za mikono mifupi za enzi ya mzee six zimepauka! Ila maisha Hays
 
Back
Top Bottom