Waislamu wakienda hakuna tatizo maana Dubai sio ya makafir, makafir ndio hawafai. Makafir waende Ulaya na Marekani huko ndio kuna wafaa kwa kuwa kuna mfumo kristo.
Mkuu una nini??
wakenya walifukuzwa UAE wakati wa kibaki....
Walichanganyikiwa kwa hilo mpaka kibaki akaomba msamaha
Dubai employment visas for Kenyans still an issue : Diaspora Messenger News Media
In April 2010, the UAE imposed some new visa rules on
Kenyans requiring them, among other things, to have degrees
to come to the UAE....
However, the Kenyan Ambassador said the country has a
saturation of graduates and thus the fresh young men
would be very useful as economic agents outside Kenya.
It is important that the young men and women benefit from
any openings and opportunities abroad. We do not have a
problem of brain drain. It is brain gain. The Kenyan market is
saturated, making it hard to get employed there.
Kama kitu huna uhakika nacho usiropoke anapeleka dubai sio watumwa ni watu wanaokwenda kupata ajira tena mfanyakazi wa ndani hulipwa hadi laki mbili sio kweli ndugu zetu hawa wakifika dubai hujisahau na kuanza kutembea na baba wenye nyumba ni uongo wanaousambaza kuna watu wanatumia fursa hiyo ya mtemvu kuwadanganya ndugu zetu ubalozi upo na unafwata haki zote za wafanyakazi wa ndani usikubali kupelekwa kama hujapata karatasi za mkataba zilizosainiwa na balozi
Waislamu wakienda hakuna tatizo maana Dubai sio ya makafir, makafir ndio hawafai. Makafir waende Ulaya na Marekani huko ndio kuna wafaa kwa kuwa kuna mfumo kristo.
muanzisha post bila shaka ana lake jambo na mtemvu, anaonekana anasikiliza maneno ya kijiweni na kuyaleta hapa. Lete uthibitisho wa mtu mmoja tu aliyepelekwa huko na kampuni ya Mtemvu na akapatwa na hayo unayoyasema, vinginevyo una wivu wa kike.
je unafahamu wale aliowapeleka mtemvu wanafanya kazi gani ?
Huko nako kuna ma agent mkuu??!!kazi za ndani na udereva tena sio Dubai kama mlivyokariri ni nchi kadhaa za kiarabu.
Mmeshindwa kuonesha ushahidi kwa waliopelekwa na kampuni ya Mtemvu waliopata matatizo.
Anayepata ajira kupitia kampuni hiyo kuna utaratibu mzuri wa makubaliano na mikataba inayosimamiwa na balozi zote
za nchi mbili husika. Anayekwenda anajua haki zake mshahara wake na kila kitu kabla hajaondoka TZ, Ndio maana nasema mleta mada anajambo lingine lilojificha dhidi ya kampuni hiyo au wamiliki wake.
Wata mnakandia kufanya kazi za ndani arabuni, mnajua wanaokwenda Ulaya hufanya kazi gani au hapo Afrika kusini?
umekua mkali kama jina lakoWewe ni mpuuzi wa kipekee kabisa na inaeleka hujui kitu mbulula wewe! mwanaharamu!
Nyumbani kwangu nina wafanyakazi wa ndani wa tano (5),wanne ni wakristo. Na huyo mmoja (wa tano) alisilimu mwenyewe kwa hiari yake baada ya kukaa nae miaka mingi toka 1996,...Ni upumbavu hasa wa makabila ya kibantu kupost watu wao huko uarabuni kwa kazi ya uyaya....cha kushangaza ni waislam tu ndio wanakubaliwa.Na tabia hii hata hapo Dar imeenea,wanaofanya kazi za dami kwa wahindi ni waislam na hawana elimu,Kwa utafiti niliyofanya mpaka mkristo anayetafuta kazi hizo aweze kudanyanya jina la kislam ndiyo apate kazi.Na shauri jamii ya ukanda wa pwanu na kati pelekeni watoto hasa wa kike shule jamani.............
Acheni mambo ya kusikia "tende ndio udongo wa arabuni" Kwanini wanawake wa kifilipino wanafundishwa mafunzo ya karate kabla ya kwenda Arabuni. Huyo mpuuzi anaysema Ubalozi unasaidi watanzania, lini na wapi? Kuna madada wa kibongo walipelekwa kusoma India, Russia, Ukraine nk, Balozi zimewatelekeza nawengi wao ni machangudoa. Balozi za Tanzania nje zipo kwa kumpokea JK na mawaziri wake