Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Bunduki Gobole na bastola alifua vyuma mwenyewe na kuunganisha.Mkuu walikuwa wanatenteneza vipi bunduki?
Mheshimiwa Mungu wa Prof. KabudiVS mtemi Magufuli
Naona mjukuu wa waarabu umekuja baada ya kusikia kuwa ndugu zako wafanya kazi wa sultan walinyooshwa n'a MiramboUmekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
Chief Mkwawa alikua muangushaji tu, doja wa mwendokasi.Ko chief mkwawa alikua "yoghurt" Tu Kwa chief mirambo [emoji848]
Kama hajui tu, waunguja wengi wa leo hapa Zanzibar, babu na bibi zao walikuwa wanyamwezi, waliuzwa na mtemi Mirambo. Asili ya sisi wazanzibar wengi ni unyamwezini (waunguja) na Uarabuni (wapemba).Naona mjukuu wa waarabu umekuja baada ya kusikia kuwa ndugu zako wafanya kazi wa sultan walinyooshwa n'a Mirambo
Mkuu usipotoshe historia. Mtemi Mkasiwa ndiye alikuwa anauza watu wake na ndiye aliye wakaribisha waarabu Tabora. Kuhusu Napoleon wa Afrika ni bahari kubwa usisikilize propaganda mkuu.Kama hajui tu, waunguja wengi wa leo hapa Zanzibar, babu na bibi zao walikuwa wanyamwezi, waliuzwa na mtemi Mirambo. Asili ya sisi wazanzibar wengi ni unyamwezini (waunguja) na Uarabuni (wapemba).
Kiufupi tu, mtemi Mirambo na Sultan wa Zanzibar walikuwa wanafanya biashara moja, biashara ya utumwa. Muuzaji alikuwa Mtemi Mirambo na Mnunuzi alikuwa Sultan.
Historia ya Mtemi Mirambo ipo nyumbani kwake Urambo pale Kwihara kilikuwa kituo cha kupumzika misafara ya wazungu na biashara zao na ndipo kodi ilikusanyiwa pale na jeshi la Mirambo. Mji wa Tabora ulipo sasa hivi ulifata reli tu. Ila nashukuru kwakuwa ulikuwa nacho hata hicho kidogo."Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000"
Si kwa nia ya kuweka mashindano baina ya mashujaa wetu wa TZ sababu wote kwa nafasi na wakati wao walitetea na kupigania watu wao,
Kuna mwalimu wangu wa form two alikua na degree ya Historia kabisa( tuliambiwa hivyo) alikua anapenda kutuita walugaluga (vijana wa kiume) , baada ya kumuuliza kwanini anapenda kutuita hivyo ndio akatumbia kuwa walugaluga lilikua jina la wanajeshi wa mtemi Mirambo na kutuhadhithia story ya Mtemi Mirambo katika upande ambao sikuwahi kuskia kabla, jamaa alikua mwamba, hodari na shupavu kiongozi kiukweli nilitamani hata mtu angeitengeneza Muvi
NB: sidhani kama kuna ushahidi wa kutosha kumsupport chief Mirambo coz niliwahi kwenda Kwihara kwenye eneo la kumbukumbu za kihistoria pale TBR bt sikukutana na recods zakutosha sana kumuhusu, pia wakati napita kurudi town kwa mbaali nikaonyeshwa yaliyokuwa makazi yake pia ilikua kawaida sana.
Toa source ya habari zako.Mkuu usipotoshe historia. Mtemi Mkasiwa ndiye alikuwa anauza watu wake na ndiye aliye wakaribisha waarabu Tabora. Kuhusu Napoleon wa Afrika ni bahari kubwa usisikilize propaganda mkuu. Mtemi Mirambo akisikia unauza watu kama watumwa anakuja kukupiga nakuchukua himaya yako inakuwa yake. Ndicho kilichomfanya Mtemi Mkasiwa kuwaalika waarabu aishi nao akimuhofia Mtemi Mirambo.
Hiki nacho kieleza sio propaganda za Magumashi. Ndio ukweli 100%.
MAGUFULI4LIFE.
Post namba 18.Toa source ya habari zako.
Cheif mkwawa ni habari nyingine na vitabu vingi vinatuambia himaya yake ilikuwa haifikiki kirahisi ila tabora ilikuwa njia na chimbo la watumwa.
Wewe umeskia wapi hicho unachotuambia?
Sent using Jamii Forums mobile app