Mtela Mwampamba jipime!

Kwanza kwa nini wanaliita jukwaa huru wakati uhuru wao umepotelea Lumumba hawawezi kutoa mawazo huru yasiyofungamana na itikadi?

Tukija kwenye mada ni dhahiri alichoongea ni karata yake nyingine ya kusikika ili mzee ajaribu kumfikiria kama DC mmoja akifa. Katika hali ya kawaida uteuzi wa raisi haukosolewi popote kwa vile anayo mamlaka ya kikatiba kuchagua watu anaowataka yeye kwa vigezo vyake, je mamlaka ya kusifia na kupongeza uteuzi wa raisi Mtela Mwampamba ameyatoa wapi?
 
Kwa mujibu wa biblia takatifu laana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha 4
 
Haonga mbunge aliyesoma nae Duce mwaka mmoja ndie kamuondoa Zambi wakati yeye ilisemekana alipewa ndululu akaachia
 
Kwa mantiki hiyo wanachama wa vyama vyote wasiopewa nafasi mbalimbali wajipime.
Viti maalum tu vinatosha kusambaratisha vyama vyote.
 
Nafikiri aendelee kukaza uzi kwani kazi yake inaonekana. Hawa uwasemao wapo wanazurula Dodoma hawana kitu. Kazi ya Mwampamba imekuwa ikiwafanya wajinga wa chadema humu jamvini kupishana kuleta uzi kuhusu yeye.
 
mwenzako yu Das baki hivyohivyo, mate wangu fanyakaz udas baadae uende mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…