Mtela Mwampamba jipime!

Yaani huyo lizaboni kwa akili aliyokuwa akiitumia kukanusha kila comment ndio alotegemea uongozi basi taifa hili kupiga hatua tusahau kwa viongozi dizaini ya LIZABONI
 
Ameanzisha jukwaa la wakereketwa wa ccm
 
Nimecheeka sana Lizaboni kwenye ule uzi wenye orodha
Anakaa kuuliza tu list nyingine iko wapi, list nyingine iko wapi?

Ah hahahahaaaa nadhani kwa mapambano haya ndani ya jf alikuwa na uhakika
Lizaboni na mulongo siku ya jana hawatakaa waisahau maishani mwao
 
Nasikia Magufuli akishakabidhiwa chama anafunga ofisi ya Lumumba kazi zote za chama zitafanyikia Dodoma kubana matumizi.Hapo ndipo kuta kuwa na kilio cha kusaga meno na kuisoma namba kwa wale vijana wa buku saba!
Mkuu leo hii lizaboni kasema yeye analipwa zaidi ya wenzake zaidi ya buku 7
 
Mtela Mwampamba a.k.a Ganzi usikate tamaa,endelea kufanya harakati kama kawaida,chama kinakuangalia na kuna siku mambo yatakua mazuri.
 
Mtela Mwampamba a.k.a Ganzi usikate tamaa,endelea kufanya harakati kama kawaida,chama kinakuangalia na kuna siku mambo yatakua mazuri.
Wewe mdanganye mwenzako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…