Mteja wa mpunga anahitajika

Mteja wa mpunga anahitajika

mtowisa

Senior Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
185
Reaction score
483
Mimi ni mkulima wa zao la mpunga ,niko eneo la ukwavila mbarali bei maelewano kulingana na hai halisi sokoni
 
A
Mimi sio Mnunuzi,
Ila vipi kama ukiu-process into Mchele?
Asante kwa ushauri nitafanya hivyo kama nisipopata mteja kwa bei nzuri kwa sasa naona kama nitaepusha usumbufu wa kubeba kwenda mashineni
 
A
Mimi sio Mnunuzi,
Ila vipi kama ukiu-process into Mchele?
Asante kwa ushauri nitafanya hivyo kama nisipopata mteja kwa bei nzuri kwa sasa naona kama nitaepusha usumbufu wa kubeba kwenda mashineni
 
aaaaah now days bro, Mpunga umepungua bei mnooo labda 60000 gunia
 
kilo 60 hadi 63 kwa gunia la debe 7 au kilo 8 na ponts mpaka kilo 9 kwa debe/ndoo moja ya lita 20
 
Back
Top Bottom