p_prezdaa JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 435 Reaction score 60 Aug 5, 2014 #1 Kuna kaka yangu ana shamba la matikiti maji (water melons) Ruvu Station yameshakomaa kwa kuvunwa yakutosha gar kadhaa yeyote anataka kununulia Mzigo shamban wasiliana na +255 715 476 787 or +255 687 594 929.
Kuna kaka yangu ana shamba la matikiti maji (water melons) Ruvu Station yameshakomaa kwa kuvunwa yakutosha gar kadhaa yeyote anataka kununulia Mzigo shamban wasiliana na +255 715 476 787 or +255 687 594 929.
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,794 Reaction score 6,569 Aug 5, 2014 #2 Ngoja nikuitie mkuu ndesangao aje anunue hayo matikiti yote huko huko shamba. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,794 Reaction score 6,569 Aug 5, 2014 #3 Namba za huyo ndesangao ni 0659663232 Kazi ni kwako sasa mkuu p_prezdaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
p_prezdaa JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 435 Reaction score 60 Aug 5, 2014 Thread starter #4 Thnx kisima