Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

Watu watu kila mara watu!
wameiba, wamefumaniwa, wamekula, wameugua...
 
Connect dots kwanini wewe ni maskini,watu wanapenda siasa za kijinga
 
Hii ingekuwa posti dhidi ya ACT mods wangekuwa wameitoa. Angekuwa amesemwa Zitto na tabia za kubadili wanawake wangeingilia kati haraka. Ujinga wa ma-ACT, WAKO KIMYA.

Sio kweli humu kuna post za kumkashifu ZITTO nyingi za kijingajinga sana sijui za lowasa, emails za kuunga unga mbona hazijaondolowa. Je yanayosemwa na mtoa mada je ni ya uongo?
 
Time flies.

Kumbe Mbowe kapata uongozi CHADEMA tangu 1993!
 
Time flies.

Kumbe Mbowe kapata uongozi CHADEMA tangu 1993!

..hapana.

..kuna makosa ktk maandishi ya Mzee Mtei.

..ameandika Mbowe alikuwa mwenyekiti tangu 1993 lakini alimaanisha 2003.

..mfumo wa vyama vingi ulianza 1992 baada ya ripoti ya Jaji Mkuu Francis Nyalali.

..Mwenyekiti wa kwanza wa CDM Edwin Mtei aliongoza mpaka mwaka 1998.

..Mzee Mohamed " Bob " Makani aliongoza chama mpaka mwaka 2003.

..baada ya hapo ndiyo Freeman Mbowe akachaguliwa mwenyekiti na ameendelea mpaka leo.

Cc meningitis
 
Asante kwa ufafanuzi
 
ngoja kwanza tuchangie chadema digito
 

unajitahidi kuchafua ccm ukimuacha mbowe naked, so mbowe ni opportunistic si ndio?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…