Mtegoni.

NB; riwaya hii haitauzwa popote, itawekwa hapa kwa kadri ya kudra za Mungu.
Wale wanaopenda kulalamika alosto na lugha nyingine dhaifu, niwakumbushe mapema, pengine Uzi huu hautawafaa kwa sababu, utaenda kwa kadri ya kupatikana muda wangu binafsi. Mnaotunga kuibiwa na kutapeliwa, niwaombe, acheni Uzi huu uende bila propoganda hizo. Sote tunaopenda kufurahi, kuburudika hivyo, maoni ya wahifidhina wachache yasisitishe burudani ya wengine.
Uzi huu unawafaa zaidi wale ambao ni wasomaji halisi na wapenda riwaya wa kweli.
Ukimaliza kusoma weka alama nijue nasomwa, itanikumbusha deni nililoweka kwako, nami nitakuwa najitahidi kupata muda wa kuweka vipande kwa niendeleavyo kuandika.
 
Wengineo, wale mnaopenda riwaya za ujasusi na upelelezi, mikasa ya Zuki Gadu na jasusi Honda, Zedi wimba na Koplo Mina...
Hapa chini ni orodha ya riwaya zao, unaweza kunifuata WhatsApp na uchaguzi wa idadi ya riwaya unazotaka na kiasi ulichonacho, tukikubaliana unalipia, unapata riwaya kwa njia ya nakala tete.
1. kuta za darfur
2. Ukurasa wa gaidi
3. Wito
4. Jasho la Haini
5. Operation duma(Zuki gadu)
6. Mvamizi.
7. Sio Mimi
8. Katanga, mji wa kifo (zedi wimba)
9. Kaburini ama gerezani
10. Ukiwapata waue
11. Mtumwa
12. Mdunguaji wa goma.(Zuki gadu)
13. Baharia(mina)
15. Kalenda ya ibilis(Zuki gadu)
16. Chumba namba saba
17. Mbwa wa geti
18. Operation jicho la paka
19. Domokaya (Zuki, bob rando, KISu)
20. Sauti ya mtutu..(Albino niyonzima)
21. Ngoma ngumu (Zuki)
22. Urithi wa gaidi(zedi wimba, haji makame)
23. Mpango wa Congo....(honda makubi, mtega nyoka)
24. Kikosi cha pili (zedi wimba)
25. Mauaji ya kifo(zedi wimba, willy kondo)
26. Doa la vipepeo (honda makubi)
27. Chelewa uzikwe (Zuki gadu)
28. Tumbo joto(honda makubi, zuki gadu, Bob rando)
29. Jasusi komando (honda na obimbo mtei)
30. Siri ya Kambi (pito fizo)
31. Chaka bovu(zuki gadu)
32. Siku za Giza
33. Njia ya damu.
34. Jitu.
WhatsApp namba 0658564341
 
Balaa

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
"KIMBIA"
 
Ameyakanyaga
 
Nipo hapa mkuu, nakusoma vizuri.
 
Tuwepo hapa. Baadae kidogo tunaendelea
 
ovyoo kama hamtaki msiwe mnaleta vistori vyenu mfyuuuuuu😎
 
ovyoo kama hamtaki msiwe mnaleta vistori vyenu mfyuuuuuu😎
Ikiacha kupostiwa ndo mnajitokeza, ikiwa inapostiwa mnapita kimyakimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…