Hii kitu imenishtua sana, maana hata body language ya Rais wakati anamuagiza Mkaguzi ni kama kuna kitu kipo ambacho kitampa CAG wakati mgumu ambao tayari Rais kaisha uona.Rais ameonyesha udhaifu mkubwa sana , hii INA maana kwamba hamwamini CAG
Hii kitu imenishtua sana, maana hata body language ya Rais wakati anamuagiza Mkaguzi ni kama kuna kitu kipo ambacho kitampa CAG wakati mgumu ambao tayari Rais kaisha uona.
Inaweza kuwa mbinu nzuri, ila inategemea inatumika Je, na wakati gani?CAG naye ni binadamu, na hii issue ni nyeti. Huko nyuma tuliona Ma CAG wakishambuliwa bungeni kwa kupindisha ukweli.
Kwa kuunda timu kadhaa, Rais anataka tu kujiridhisha na ukweli ..! Nafikiri ni strategy nzuri kwa kiongozi yeyote.
Wanawake wenye payo namna hii, wana msongo wa mawazo sana. Zungumza na unayemuamini uliye nae karibu akusaidie kimawazo. Pole sana, yatakwisha.Hapa kazi tu
Ni kwamba wahusika wasidanganye na amewajulisha hilo kihivyo.
Magufuli oyeeeeeee
Mkuu kwanza amini kila kazi ifanyikayo kwaajili ya taifa ni muhimu, tatizo pengine linaweza kuja kwenye priority au strategy katika jambo husika. Je Rais akiamua kufanya au kijiaminisha katika kila kitu hapo kulikuwa kuna haja gani ya kuteua wasaidizi wake tena ambao amewaamini na kiwafanyia uchunguzi wa kujiridhisha?Rais makini wakati wote huweka msisitizo kuonesha kazi hiyo ni muhimu. Hapa sio issue ya kuaminiana bali ni kulinda maslahi ya Taifa. Na kama CAG yupo tentative lazima atakwenda kufanya kazi bora zaidi. Mazoea ya kuaminiana ndiyo yamefanya nchi imekuwa na ulaji na walaji kila kona. Ni mjinga pekee anayeweza kuhoji ubora wa Rais tuliyenaye Tanzania kwasasa. Ukifuatilia kwa makini utaona wanaohoji ni wale waliokuwa kwenye mtandao wa kuifanyia maovu nchi yetu Tanzania. Either wapiga deals haramu au wauza unga. You are no more. Go to hell. Leave our country alone.
Leo katika kufatilia taarifa ya habari katika kituo kimoja cha television hapa nyumbani, imeonesha Mkaguzi Mkuu wa hesabu wa Serikali amekabidhi ripoti yake kwa Mh. Rais ikulu.
Katika makabidhiano hayo, Rais ameenda mbali zaidi na kumpa kazi nyingingine, "akimtaka" Mkaguzi huyo akakague migodi ya madini na aje na ripoti ya kuonesha taifa/serikali ina nufaika vipi na mchanga unaosafirishwa kwenda nje.
Mbali na kumuagiza huko, Rais kasema kwamba, ataunda tume nyingine ichunguze suala hili hilo, na ataunda "timu" nyingine hisiyojulikana (invisible team) kuchunguza jambo hilo hilo pia.
Sasa hapa najiuliza, kuna ulazima gani tena Rais aunde tume na invisible team, wakati ameishamwagiza CAG kufanya jambo hilo?
What if, kama hiyo tume na team zikaja na majibu tofauti na ya CAG?
Je Kazi anayofanya CAG haiaminiki kwa serikali au Rais ndio hana imani na CAG?
Rais makini wakati wote huweka msisitizo kuonesha kazi hiyo ni muhimu. Hapa sio issue ya kuaminiana bali ni kulinda maslahi ya Taifa. Na kama CAG yupo tentative lazima atakwenda kufanya kazi bora zaidi. Mazoea ya kuaminiana ndiyo yamefanya nchi imekuwa na ulaji na walaji kila kona. Ni mjinga pekee anayeweza kuhoji ubora wa Rais tuliyenaye Tanzania kwasasa. Ukifuatilia kwa makini utaona wanaohoji ni wale waliokuwa kwenye mtandao wa kuifanyia maovu nchi yetu Tanzania. Either wapiga deals haramu au wauza unga. You are no more. Go to hell. Leave our country alone.