Hakuna uzio hapo angalia kwa makini lakini pia walioleta picha wamekwambia hakuna uzioUzio upo
Kondoo kama 'nyumbu'.....!Kondoo wana tabia ya kuigana katika matendo, kwa mfano kondoo wa kwanza akipita sehemu flani akaruka wanaofuatia pia wataruka hata kama hakuna ulazima wa kuruka, simply they don't reason(think).
Nadhani mantiki ya mleta picha iko katika suala la uwezo wa kufikiri hasa watanzania