Mtego mpya wa kunasia Mbususu

Shida yote ya nini?
Eti mpambanaji mwenzake [emoji3][emoji3]
 
Kama Savana za elfu 10 tu Zina nasa samaki ...mbinu ya kucheki afya itashindwaje....?

Hapa ndio Kama demu alikua ni bahamedi kapinda ile ile akienda kucheki afya akajikuta yupo fiti na ukamuweka ndani atatuliaaa ...mlokole akasome
Duh kumbe wanatuliaga hao eeh
 
Uko kama unahadhia movie ya amita bachan. Iko kizamani sana
 
Daah mbinu ya kishamba sana hii aisee na sijawahi ona ufala kama huu
 
Kama unahisi labda Mimi masikini Sana ndio maana nazila mbususu kwa kwa style hiyo ........Basi namba yangu hii hapa

+1 (207) 640-2179
Ukiwa na US code automatically unakuwa rich ?
 
Huo muda wa kuhangaishana na mtu asiye na senti mfukoni mpaka apime anautolea wapi?
 
Mleta uzi kasahau kutoa maelekexo muhimu hapa;

Hii mbinu itafanya kazi kama una gari kali, kazi ya uhakika, nyumba ya kuishi plus udambwi udambwi unaohusiana na pesa.

Kila la kheri wasaka mbususu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…