johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,213
- 1,620
Napendekeza kuanzishwe "uzi" (nakosa jina lake) maalum ambao utakuwa mahususi kwa ajili ya taarifa mbalimbali zinazohusu uchaguzi wa serikali z amitaa mbao utafanyika nchini kote Jumapili ya Desemba 14 mwaka huu.
pamoja na kurahisisha upatikaaji wa taarifa katika eneo moja, uzi huo utasaidia watu ambao watakuwa wakifanya marejeo ya uchaguzi wa serikal za mitaa katika siku za baadaye.
taarifa zote khusu uchaguzi huo zipatikane kwenye eneo moja ambako wenye nia ya kuzipata waende huko hasa tukiingatia kuwa uchaguzi huu unafanyika katika wakati ambako watanzania wengi hivi sasa wanatumia simu ambazo zinauwezo wa kutoa na kupkea taarifa za aina mbalimbali.
wadau wa jf jumapili kila mmoja akitahidi kila atakapo kuwa atujuze kinachoendelea ili kuwawezesha wadau kufahamu yanayojiri kwenye uchaguzi huo
hii haitatulazimu kusubiri "vyombo vya habari" vitupatie taarifa kwa kuchelewa au pangine baada ya kuhaririwa kutokana na sera ya chombo husika. Habari zipatikane hapa hapa
Nawasilisha