mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Mkuu licha ya kwamba mimi ni mshabiki wa ccm lakini Mbowe lazima nimpe credit yakeHeshimu uamuzi wa mtu bhana! We vipi!! Au ndiyo unataka Kamanda naye aingie kwenye ule mtego mliomtegea magufuli, na mwisho wa siku Mwenyezi Mungu akamtwaa, kabla ya lengo lenu ovu kutimia?
Vipi kuhusu hizo paragrafu zingine?Paragraph ya mwisho umeandika kama umechanganyikiwa
Hofu yangu chadema imetoka kwenye uchaguzi mkuu ambao kwao haukuwa mzuri kwao,sasa wamepata wasaa wa kufanya siasaUsiogope changes, hata kwenye maisha yako binafsi ukitaka kusogea next step yakupasa uwe tayari kwa mabadiliko, na kama unakiri ameshachoka basi nae amejiona amechoka, muache apumzike, Chadema ianze phase mpya.
Mkuu huku mtaani hadi chadema(viongozi) wenyewe wananijua kwamba mimi ni CCM,na wakiwa na vikao wanakuja kuazima viti kwangu kama haviwatoshi na hata baadhi ya michango huja kuniomba na nawachangia,ki-ufupi tunaishi hivyoKawaida kila inapokaribia mwisho wa uongozi wa Mbowe, hujitokeza mtu au kundi la watu kujifanya wanamshaur ili aendelee kugombea tena, na baada ya hapo Mbowe hujifanya kubadili mawazo na kuendelea kugombea uenyekiti...
Haya kaka.Mkuu huku mtaani hadi chadema(viongozi) wenyewe wananijua kwamba mimi ni CCM,na wakiwa na vikao wanakuja kuazima viti kwangu kama haviwatoshi na hata baadhi ya michango huja kuniomba na nawachangia,ki-ufupi tunaishi hivyo
Kwamba atabadili gia anganiHumjui mbowe
Kama itakuwa hivyo vizuri ila nikiangalia kikosi kazi cha chadema naona kwenye nafasi mwenyekiti sio kipanaWatakuwepo wagombea wengine nje ya Mbowe usijali.
Wapo wengi tu kwenye maono kama Mbowe.