Mtazamo wangu: kuketi bunge la bajeti ni ufisadi.

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,474
2,649
Wasalaam , kwa maoni yangu hakuna haja wala umuhimu wa binge LA bajeti. Kwann ñasema haya? Ni kwa sababu kuna MTU mmoja ambaye anaweza na amemudu kupanga bsjeti kwa niaba ya wa tz bila kujali bajeti inayopangwa bungeni. Kwa muktaza huu naona hakuna haja ya kuwa na binge LA bajete kwasababu wanachopitisha sicho wanachosimamia ni wanafiki. Twende mbele turudi nyuma wabunge wetu ni wanafiki hasa wa ccm.
 
Back
Top Bottom