Mtazamo wangu kuhusu akina mama waliotelekezwa

Aiseeeeee Mtihani na mtihani kweli kweli.

Mdogo mdogo tutafikaaaaaa.

Yajayo yanafurahishaa

Raha kama hizi kuna baadhi watazisikia kwenye bombaaa
%E2%80%AA%2B255%20768%20445%20851%E2%80%AC%2020180409_090537.jpg
 
Aiseeeeee Mtihani na mtihani kweli kweli.

Mdogo mdogo tutafikaaaaaa.

Yajayo yanafurahishaa

Raha kama hizi kuna baadhi watazisikia kwenye bombaaa View attachment 740007
Hii ni picha yakiwakilishi cha ndoa na furaha.... Lakini hii ni sawa na maji yenye kina kirefu... Usijaribu kuyaingia kama hujui kuogelea
 
Kwa mada hii unaonekana kua nawe unahusika kwa kuwatelekeza au kumtelekeza mtoto huna lolote
 
Lakini inaumiza sana pale mwanaume anapokataa kabisa kumuhudumia mwanae.


Sheria mpya imtake mama kuchangua walau 20 elfu kwa mtoto ambae anaishi na Baba Yake.
 
Single mother wengine huwatumia watoto kama kitega uchumi kwa kuvuna pesa kutoka kwa wanaume wao..unatuma pesa ila zinatumika katika matumizi mengine ambayo hayahusiani na mtoto kama nywele na viwalo
 
Kuna wanawake wengi tu wanaojitambua hawakujitokeza pale kufanyiwa udhalilishaji kwa manufaa ya wengine... Wanawapenda sana watoto.... Wanazitambua haki za mtoto na privacy zao... Hawakutaka kuwa sehemu ya jinamizi litakalomtesa mtoto mbeleni.. Maandishi hayafi picha hazifutiki....
Kwao yaliyotokea yametokea... Waliweza kusimama tena kama single mothers na sasa wako vizuri... Na wengine wamefuata njia sahihi za kudai matumizi ya mtoto au whatever.......
Shida iko kwa hawa ma jobless.. Kucha kuta kiguu na njia mara kigodoro.. Mara kumtoa mwali... Mara kumtoa mtoto... Mara kumtia mtoto sunah... Kama si hayo basi ustawi wa Jamii otherwise vibarazani kuteta umbea
We jamaa unajuje? Dah unatisha, tena hapo mademu wa keko mwanga/ magurumbasi kwa manyema, tandale, uwanja wa fisi vingunguti mbagala na kwingine kunako fanana na huko ndio wamejazana.huwezi kuwakuta wa kutoka masaki, msasani, mbezi tanki bovu, na kwingineko kunako fanana na huko kwenda kujidhalilisha.
 
Sawa uliyongea inaweza ikawa kweli lakini swali je we Mwanaume unajua huna malengo na huyo binti kwa nini uende kavu wakati unajua kabisa hapa sioi na sina future na huyu mtu, maana kwa tabia hiyo basi utazalisha watoto wengi.Hapo hasara ni kwa jamii kuwa na watoto wengi wa mtaani na vibaka
 
hahaha bawacha nyie kazi mliyonayo ni kumchukia Makonda
 
Back
Top Bottom